Why africa is the poorest while it has all

Kazabukeye

New Member
Jun 9, 2017
1
0
I want to know why africa remains poor while we have the richest under earth.
Which is the solution to be developped?
 
No knowledge know how, illiteracy and no vision/mission/will to fight poverty.
 
Mimi nasoma tu comment, maana hii ni research tosha kabisa
 
Kwani nini maana ya umasikini?? Umasikini ni kitu subjective, ndio maana kitu unachokiona ni utajiri kwako kwa mwingine ni umasikini...


Ndio maana mmasai Mwenye ng'ombe 10000 halafu hana gari wala Nyumba ya kisasa kwa wengine anaonekana masikini....


Sababu kubwa ya umasikini wa muafrica ni Mentality ya nini maana ya umasikini iliyopandikizwa vichwani mwetu na westerns.....
 
Tungeanzia hapa kwanza " HOW EUROPE UNDER~DEVELOPED AFRICA."

Then ni kigezo gani haswa kinachotumika kupika umaskini au utajiri wa nchi?
Africa might be very poor yes but the vise~versa is true also.
 
Waafrika tuna umasikini wa akili tu. Inawezekanaje watu milioni 50 wanakuchagua ili uwe kiongozi wao and then unakwenda kusaini mikataba mibovu kwa ajili yako na familia yako.
 
We hv to blame our selves,
Ss ndo chanzo cha tatizo,
Mind set yetu ni shida
Vichwani tungekuwa vizuri hata hiyo utawala bora ingekaa vizuri maana tungempa nani atuongoze ili kutupeleka tunapotaka,tofauti na sasa tunaenda viongozi anakotaka,tumekuwa watumwa wa wanasiasa badala ya wanasiasa watutumikie sisi
 
I want to know why africa remains poor while we have the richest under earth.
Which is the solution to be developped?
You're supposed to go back to the drawing board to learn the grammar after which you will know why Africa remains poor despite being rich in resources.
 
1.We, Africans, are ignorant.
2.We have no technical know how on natural resources
3.We underate ourselves on exploration processes.
4.Poor govt policies and policymakers
5.Incompetent leaders esp lawyers.
6.Inabilities to defend our resources
7.Presents and aids misled us
8.Betrayal of the political leaders in the continent.

And so fourth.....
 
we are poor coz hatujui kutatua matatizo ya umaskini(hilo ndo tatizo) si unaona hapo juu walivyomention hizo sbb hiyo inamaanisha matatizo ya umaskini wetu tunayajua lkn hatujajua/hatujaweza kutatua ni namna gani tutatatua matatizo yetu hili ndio tatizo!
 
Back
Top Bottom