USA ndiyo nchi pekee iliyo Huru!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,607
2,000
Wengine wote tumezawadiwa tu huu unaoitwa Uhuru, USA haijapewa Uhuru bali imeuchukuwa kwa nguvu ktk kwa Wakoloni, USA ilipigana Vita na kuwashinda Wakoloni na kuchukuwa Uhuru wao na ndiyo maana wako huru!

Sisi wengine tunadanganyana tu, kilichofanyika ni kwamba Mkoloni kabadilisha namna ya kututawala badala ya kutawala moja kwa moja sasa anatumia njia nyingine, anateua mmoja wetu na ambaye tutamkubali kwa kuona kwamba ni mmoja wetu lkn ukweli ni kwamba yuko kwa ajili ya Muzungu, ndiyo maana mpaka leo hii Waafrika wote wako aidha British Commonwealth ambapo Mkuu wake ni Ufalme wa Uingereza, au Internationale dela Francaphonie na Makoloni ya Ureno nayo yana yao, lkn USA siyo Mwanachama wa huo ujinga, kwa sababu USA ni nchi huru ambapo ilichukuwa Uhuru wake kwa lazima na kwa nguvu, wengine wote Wamama tu, angalia Hati yetu ya kusafiria imeandikwa kama hamna Ubalozi wa nchi yetu hiyo nchi uliopo basi uende Ubalozi wa Uingereza, kwa nini siyo wa Uchina au Zimbabwe?

Tanzania hata Tembo wavamie kijijini kuharibu na kuuwa Wananchi hatuwezi kuwapiga tembo risasi bila kumjulisha Muzungu, WTF?
 
Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
9,355
2,000
Wengine wote tumezawadiwa tu huu unaoitwa Uhuru, USA haijapewa Uhuru bali imeuchukuwa kwa nguvu ktk kwa Wakoloni, USA ilipigana Vita na kuwashinda Wakoloni na kuchukuwa Uhuru wao na ndiyo maana wako huru!

Sisi wengine tunadanganyana tu, kilichofanyika ni kwamba Mkoloni kabadilisha namna ya kututawala badala ya kutawala moja kwa moja sasa anatumia njia nyingine, anateua mmoja wetu na ambaye tutamkubali kwa kuona kwamba ni mmoja wetu lkn ukweli ni kwamba yuko kwa ajili ya Muzungu, ndiyo maana mpaka leo hii Waafrika wote wako aidha British Commonwealth ambapo Mkuu wake ni Ufalme wa Uingereza, au Internationale dela Francaphonie na Makoloni ya Ureno nayo yana yao, lkn USA siyo Mwanachama wa huo ujinga, kwa sababu USA ni nchi huru ambapo ilichukuwa Uhuru wake kwa lazima na kwa nguvu, wengine wote Wamama tu, angalia Hati yetu ya kusafiria imeandikwa kama hamna Ubalozi wa nchi yetu hiyo nchi uliopo basi uende Ubalozi wa Uingereza, kwa nini siyo wa Uchina au Zimbabwe? WTF?
Mkuu sijui unatafsiri vipi uhuru.Uhuru ni pale ambapo mtu unaweza kufanya maamuzi yako bila kuwa influenced na kitu chochote au external forces.Kwa bahati mbaya tafsiri yako hai-take into account these unseen non physical influences or forces ambazo zinaweza kukufanya wewe ufanye maamuzi usiyo yakusudia.Influences hizi or forces ni real and very powerful now than at any other time of our human history.Mwalimu Nyerere alitabiri aina hii mpya ya utumwa.

Forces hizi zinatumika Marekani,Tanzania na dunia nzima,so the Americans aren 't as free as you possibly think.They are slaves just like you. This is called 'mind control' na mbinu mbali mbali zinatumika katika harakati za 'mind control,' which is a science in its own right including your smart phone,TV and computer! I say including, because they have a myriad of methods.The Mobile Phone Masts near our homes are a disaster.How sad.

They gave us the so called freedom because they new they would perfect these new forms of control in effecting slavery.
 
Blackman

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
788
500
Wengine wote tumezawadiwa tu huu unaoitwa Uhuru, USA haijapewa Uhuru bali imeuchukuwa kwa nguvu ktk kwa Wakoloni, USA ilipigana Vita na kuwashinda Wakoloni na kuchukuwa Uhuru wao na ndiyo maana wako huru!

Sisi wengine tunadanganyana tu, kilichofanyika ni kwamba Mkoloni kabadilisha namna ya kututawala badala ya kutawala moja kwa moja sasa anatumia njia nyingine, anateua mmoja wetu na ambaye tutamkubali kwa kuona kwamba ni mmoja wetu lkn ukweli ni kwamba yuko kwa ajili ya Muzungu, ndiyo maana mpaka leo hii Waafrika wote wako aidha British Commonwealth ambapo Mkuu wake ni Ufalme wa Uingereza, au Internationale dela Francaphonie na Makoloni ya Ureno nayo yana yao, lkn USA siyo Mwanachama wa huo ujinga, kwa sababu USA ni nchi huru ambapo ilichukuwa Uhuru wake kwa lazima na kwa nguvu, wengine wote Wamama tu, angalia Hati yetu ya kusafiria imeandikwa kama hamna Ubalozi wa nchi yetu hiyo nchi uliopo basi uende Ubalozi wa Uingereza, kwa nini siyo wa Uchina au Zimbabwe? WTF?
unamaanisha magu kateuliwa na Uingereza au sijaelewa?
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,607
2,000
Mkuu sijui unatafsiri vipi uhuru.Uhuru ni pale ambapo mtu unaweza kufanya maamuzi yako bila kuwa influenced na kitu chochote au external forces.Kwa bahati mbaya tafsiri yako hai-take into account these unseen non physical influences or forces ambazo zinaweza kukufanya wewe ufanye maamuzi usiyo yakusudia.Influences hizi or forces ni real and very powerful now than at any other time of our human history.Forces hizi zinatumika Marekani,Tanzania na dunia nzima,so the Americans aren 't as free as you possibly think.They are slaves just as you. This is called mind control na mbinu mbali mbali zinatumika katika harakati hizi, including your smart phone,TV and computer! I say including, because they have a myriad of methods.The Mobile Phone Masts near our homes are a disaster.How sad.They gave us the so called freedom because they new they would perfect these new forms of control in effecting slavery.

Naongelea Uhuru wa kujitawala kama nchi na siyo Uhuru wa Wananchi kupigiana simu bila maingezi yao kudukuliwa, USA kama nchi iko huru siyo kama Afrika yetu!
 
Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
9,355
2,000
Naongelea Uhuru wa kujitawala kama nchi na siyo Uhuru wa Wananchi kupigiana simu bila maingezi yao kudukuliwa, USA kama nchi iko huru siyo kama Afrika yetu!
Nadhani hujaelewa bandiko langu mkuu, sizungumzii udukuzi!Nazungumzia 'mind control' which is a form of slavery.Soma vizuri bandiko langu mkuu litakufumbua macho.
 
Bufa

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
6,394
2,000
Umeandika pumbaaa, kwanza Kuna nchi nyingi tu ambazo hazipo/zilijitoa CW kama Gambia, USA sababu ya mfumo wao wa majimbo hivyo ni uamuzi wa majimbo aidha kuwa au kutokuwepo Commonwealth, states kama Virginia na Massachusetts ni wanachama Hai wa Commonwealth.
 
niah

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
6,572
2,000
Unataka kutuambia wachina, Japan ambayo haijawahi tawaliwa na koloni lolote, Scandnavia countries ambazo zilitawala ulaya including England nazo ni watawaliwa? Unataka kutuambia Urusi inatawaliwa na Marekani?

Africa hatutawaliwi ila utegemezi wetu ndo unatusumbua. Wewe si kada mzuri wa CCM chama tawala chenye kushika dora, je? ulishauliza kwanini budget yetu itegemee nchi za nje ili iende? Je, unajua kuwa asilimia kubwa ya bunge letu linafadhiriwa na serikali ya uingereza? Mbona huulizi kwa nini iwe hivyo? Wakoloni waliondoka 1960 bado unawataja wakati wenzio wa Thailand, Malaysia, Singapore, Botswana, Brazil walitawaliwa na watu hao lakini sasa wamekuwa mataifa yenye, maendeleo na uchumi mkubwa duniani? Wenzenu wanabadili uongozi kila mara na hivyo kuna ushindani wa nani na chama gani kimefanya nini, nyinyi mnabakia mipasho ya TOT na akina Diamond. mtakaa hivyo hivyo kama Cuba ambao walitegemea misaada toka USSR ilipovunjika waone walivyo na chama chao kimoja. Tanzania hakuna upinzani sababu mpinzani kila siku ni kutishwa, wameshaambiwa wafuguzwe bungeni ili washughulikiwe nje, ni nchi gani zaidi ya urusi, cuba, uganda, rwanda na nyingi za kiafrika ambazo zinaweza fanya hivyo. Bila uhuru wa raia hakuna maendeleo, hata yakija ni nguvu ya soda.
 
Gambia ilijitoa uliona kilichotokea? Sasa hivi Gambia imesharudishwa British Commonwealth kwa nguvu na isitoshe kama swala ni Majimbo kwa nini Kanada, Australia, New Zealand zote ni Mwananachama wa British Commonwealth ingawaje zina Majimbo kama USA?
 
Huwo utegemezi unaoungelea unatokana na nini? Utegemezi ndiyo Ukoloni wenyewe huo ni by design sisi tunategemea Wakoloni, na ndiyo maana Makoloni ya Ufaransa yanaitegemea Ufaransa, ya Uingereza yanaitegemea Uingereza, Ureno vivyo hivyo, na yoyote aliyejaribu kuondokana na huo utegemezi kiama kilimkuta mfano, Kwame Nkrumah, P.Lumumba, Sankore &Co.!
 
Bufa

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
6,394
2,000
Gambia ilijitoa uliona kilichotokea? Sasa hivi Gambia imesharudishwa British Commonwealth kwa nguvu na isitoshe kama swala ni Majimbo kwa nini Kanada, Australia, New Zealand zote ni Mwananachama wa British Commonwealth ingawaje zina Majimbo kama USA?
Canada, New Zealand, Australia zote zinamtambua Queen wa England kama kiongozi wao mkuu wao wana prime minister tu whilst USA wana Rais na Queen sio kiongozi wa USA kwa namna iwayo yeyote ile. Bado u mweupe sana kwenye haya mambo jiongeze
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,607
2,000
Canada, New Zealand, Australia zote zinamtambua Queen wa England kama kiongozi wao mkuu wao wana prime minister tu whilst USA wana Rais na Queen sio kiongozi wa USA kwa namna iwayo yeyote ile. Bado u mweupe sana kwenye haya mambo jiongeze

Sasa ndiyo umeandika nini? Mbona unarudi pale pale ninapoongelea? Kwa nini huyo Queen wako siyo Mkuu wa USA lkn ni Mkuu wa Kanada?
 
niah

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
6,572
2,000
Sasa nataka nikueleze kuwa USA ndiyo nchi tegemezi. Umeishi US wewe? Nimeishi kule na kila mtu unayekutana naye akikwambia lazima akueleze yeye asili yake ni either Italy, England, schotland, German or whatever. Kwanini wasiseme wenyewe ni wamarekani. Ukiongea ukasikika una accent ya kiingereza watu wote wanakushangaa na kukuona kama umetoka peponi. Nasema hivi sababu nimeishi NY na kitongoji cha watu wenye uwezo nilikuwa nikiongea na accent yangu ya kwa mama watu wanakushangaa hivyo wewe kama unataka kujua wamarekani kaa uishi nao na ujue wanajisikia je siyo uje na stori hizi. Usipotembea siku zote mama chakula chake kitamu kuliko vyote. By the way accent yangu ya kwa mama ni king'e zaidi ya mr. Pombe. cc mshana jr.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom