Inegundulika kuwa Russia story ni fake news na CNN iko kwenye hatari ya kuuzwa .Story nying za Russia ni fake na CNN imeanza kupoteza waangaliaji.Woulf blitzer ,Anderson cooper, Don lemon ,wapo...
Serikali nchini Marekani imeanza uchunguzi wa matukio makubwa ya udukuzi katika mifumo ya kompyuta duniani.
Baraza la Taifa la Usalama jijini Washington limesema jana Marekani imedhamiria...
Monalisa Perez mwenye umri wa miaka 19 aliwekwa alipandishwa katika Mahakama moja mjini humo baada ya kumpiga risasi Pedro Ruiz ambaye ni mpenzi wake baada ya kutaniana kwa kuweka kitabu katika...
Aliyekuwa waziri mkuu wa Israel Ehud Olmert anaachiliwa mapema kutoka gerezani ambapo anatumikia kifungo cha miezi 27 kutokana na mokosa ya ufisadi
Olmert alifungwa Februari mwaka 2016 na...
Mamlaka nchini Brazil imezuia utoaji wa hati za kusafiria (pasipoti) kutokana na mgogoro wa bajeti.
Kitengo cha polisi wa uhamiaji nchini humo ambao hushughulikia utoaji wa pasipoti ndani ya siku...
Mtoto wa miaka 10 kutoka Indonesia, ambaye ametajwa kuwa mtoto aliyenenepa zaidi duniani alianza kupewa chakula cha kupunguza uzito Arya Permana ameorodheshwa kuwa na unene usio wa kawaida kwa...
Sun City. Askari 13 wa Gereza la Sun City nchini Afrika Kusini wamesimamishwa kazi na watachukuliwa hatua zaidi za kinidhamu kwa kosa la kuwaingiza wanawake wacheza utupu gerezani kuwaburudisha...
June 25, 2017 at 11:59 pm
By Dan Ngabonziza
Jean Marie Vianney Ndagijimana Former Foreign Minister of Rwanda
For two years, government soldiers were not paid. The vice president at the time...
MAFUA YA NDEGE: Nchi za Zimbabwe, Namibia na Botswana zapiga marufuku uingizwaji wa kuku kutoka Afrika kusini kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa mafua ya ndege.
Zimbabwe, Namibia and Botswana on...
Ikulu ya Marekani siku ya jumatatu imeeleza kwamba imepata ushahidi madhubuti kwamba Syria inajiandaa kufanya shambulizi lingine la silaha za kemikali, imeonya kwamba kama Syria itafanya hivyo...
Video hii ilichukuliwa Mosul na jeshi la Iraq wakipambana na ISIS. Gaidi hili alikujali ahadi za mbunye 72 akaamua kutoka nduki kusalimisha maisha yake. Nimecheka balaa alivyokua anakatiza.
Uzembe wa Polisi uliofanywa miaka 28 iliyopita, na uliosababisha vifo vya wapenzi 96 wa mpira, leo umeamuliwa wahusika kushitakiwa.
Na kigogo wa Polisi Chief Superintendet David...
Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Qatar amewalaumu majirani wake wa Ghuba, kwa kukataa mazungumzo kuhusu matakwa yao, ili kurejesha safari za ndege, baharini na ardhini kwa taifa hilo...
Nmepata habari kupitia DW Redio kuwa yule mwanamama Diana Rwigara aliyetangaza kuchuana na Raid kagame kakosa wadhamini takriban 600 ili aweze kugombea kama mgombea huru
Kila siku Afrika Kusini hukosi kusikia vituko na mambo ya ajabu. Safari hii maofisa wa gereza fulani huko Afrika Kusini, waliamua kuwatumbuiza wafungwa kwa kuwaletea wale kina dada wanaokata viuno...
GANZHOU, China (AP) — Chinese authorities have released on bail three activists who had been detained after investigating labor conditions at a factory that produced shoes for Ivanka Trump and...
Mataifa manne ya kiarabu yameitumia Qatar masharti 13 ambayo ni sharti iafikie iwapo inataka kuondolewa vikwazo kulingana na vyombo vya habari.
Saudia, Misri, UAE na Bahrain zinataka taifa hilo...
Jeshi la majini la Marekani limekabidhiwa rasmi aircraft carrier yake ya kisasa zaidi USS Gerald R. Ford.
Jeshi hilo limesema kwamba carrier hiyo itafanyiwa majaribio mbalimbali baharini mpaka...
Why America loses wars it starts
Reuters
Since the end of World War II, why has America lost the wars it started? And why has America failed in the military interventions it made without just...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.