Uingereza wafukua makaburi kuhusu vifo 96 mpirani Hillsborugh

masopakyindi

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
15,212
2,000
20170628_150340.jpg

Uzembe wa Polisi uliofanywa miaka 28 iliyopita, na uliosababisha vifo vya wapenzi 96 wa mpira, leo umeamuliwa wahusika kushitakiwa.

Na kigogo wa Polisi Chief Superintendet David Duckenfield(mstaafu) na wengine watano wanashitakiwa kwa kuua bila kukusudia (manslaughter).

MY TAKE
Makaburi yamefukuliwa hata huko majuu ili haki itendeke.
 
Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,265
2,000
View attachment 531984

Uzembe wa Polisi uliofanywa miaka 28 iliyopita, na uliosababisha vifo vya wapenzi 96 wa mpira, leo umeamuliwa wahusika kushitakiwa.

Na kigogo wa Polisi Chief Superintendet David Duckenfield(mstaafu) na wengine watano wanashitakiwa kwa kuua bila kukusudia (manslaughter).

MY TAKE
Makaburi yamefukuliwa hata huko majuu ili haki itendeke.
Tunachojifunza ninile kitu inaitwa perseverence ya justice system.
Karibia miaka 30 kupita na uchunguzi ulikuwa unaendelea.
Hili ni somo, kuwa mafaili ya uchunguzi yasifukiwe na kusahaulik.

Pili, watuhumiwa ni vigoho wa polisi.
Bado najiuliza kama hili lingewezekana huku kwetu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom