Marekani yaanza uchunguzi suala la udukuzi mitandaoni duniani

Marekani yaanza uchunguzi suala la udukuzi mitandaoni duniani

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Serikali nchini Marekani imeanza uchunguzi wa matukio makubwa ya udukuzi katika mifumo ya kompyuta duniani.


Baraza la Taifa la Usalama jijini Washington limesema jana Marekani imedhamiria kuwachukulia hatua wahusika wa uhalifu huo wa mtandaoni.
Mashirika mbalimbali zikiwamo taasisi za kifedha, idara za Serikali na kampuni za usafirishaji ni miongoni mwa zilizoathirika.

HACKING.....jpg

Shambulio hilo la kimtandao lilianza nchini Ukraine na limeendelea sehemu nyengine duniani ikiwamo Afrika.
 
Believe it or not Virusi vya "Wannacry" vimetengenezwa na NSA under shadow group.Sasa sijui anamchunguza nani haswa.
 
  • Thanks
Reactions: Rac
Tanzania sijui hata huwa inajua kama imedukuliwa
Ha ha ha ha! Huu mchezo unafanywa kimya kimya; haunaga kelele. Walinzi wamesimama magetini na misilaha yao ya kila aina na mimashine ya ukaguzi/scanning huku nyuma "watukutu" wanafanya yao silently. Mabenki huko ukisikia "mtandao unasumbua" ujue jamaa washafanya yao - piga DDoS ya uhakika kila kitu kinakwenda stand-still.
 
Aah aisee kuna movie fulani hivi nilicheki inaitwa HACKERS ni nomaa... hawa wadukuzi wanatumia akili balaa..

Wakidukua taasisi za serikali yetu hapa Tz sijui itakuaje hiyo hasara
 
Believe it or not Virusi vya "Wannacry" vimetengenezwa na NSA under shadow group.Sasa sijui anamchunguza nani haswa.

Jamaa hawa ni wasanii kweli kweli Dunia inajua kwamba Rais wa Ukraine ni kibaraka wa USA hivyo si ajabu kuna Branch ya NSA huko Ukraine kwa lengo la kutengeza virusi vya kushambulia computers na system nyingine za zinazo tegemea Digital Electronics.

We subiri utawasikia wakisema wamefanya uchunguzi wa kina na kugunduwa kwamba wahusika kumbe ni Warusi ndiyo walipandikiza vihashiria fake kwenye virusi ili vionyeshe kwamba Ukraine ndiyo inahusika!!

Baada ya madai hayo utawasikia wanasema wanataka kuwawekea vikwanzo maafisa fulani wa Urusi wasitembelee Ulaya magharibi na Amerika, wataweka vikwazo vile vile kwa baadhi ya Makampuni ya Urusi yanayo jihusisha na masuala ya ICT notably Karspesky Lab ambayo imefanikiwa sana kibiashara huko Ulaya na Merikani kwenyewe, sababu za Merikani kusingizia Urusi kila kukicha zina lengo moja nalo ni kutaka kumukomoa Putin na Taifa lake.
 
  • Thanks
Reactions: Gut
Aah aisee kuna movie fulani hivi nilicheki inaitwa HACKERS ni nomaa... hawa wadukuzi wanatumia akili balaa..

Wakidukua taasisi za serikali yetu hapa Tz sijui itakuaje hiyo hasara
inaitwa gost nii htr
 
Sisi mara nyingi unasikia TRA mtandao umegoma mara uko down siku nzima
Kumbe kuna wajanja wameungangania wanachomoa data zao

Hata pale nyuma ya Dstv nao huwa wanapigwa sema tu huwa hawatoi taarifa
Kiufupi sekta ya usalama wa taarifa na mtandao ni kama haupo Tanzania

Hakuna kampuni kubwa inayoshughulikia hayo mambo

Kama wale wajinga walivyotufanyia 25/10/2015 wakaichukua JF tukashindwa fanya lilote lile
 
Kuanzia mashule yanayofundisha ICT waalimu ni wabovu sana hawajawahi andika lolote lile
TRA system yao imenunuliwa London
Hatujadesign sisi kama nchi
 
*WAKUU MIMI NI KIJANA WA MIAKA 21 NAOMBENI MWENYE GROUP LINALOHUSU METHEOLOGY YA KILA KITU ANIADD,NA GROUP LA WANAFALSAFA PIA LA HISTORIA,KATIKA WHASTAP NA TELEGRAM,NUMBER YANGU NI 0712514557...NITASHUKURU SANA ENDAPO NITAADIWA NAPENDA KUJIFUNZA MENGI ZAIDI.
 
Back
Top Bottom