World
US-backed forces cut off last IS escape route from Raqa
Layal Abou Rahal,AFP Thu, Jun 29 9:50 PM PDT
Reactions
Reblog on Tumblr
Share
Tweet
Email
Beirut (AFP) - US-backed forces...
NEWS
Russia has ‘enormous’ underground bunkers ready for nuclear war
By Ruth Brown
June 29, 2017 | 2:10pm
Modal Trigger
Vladimir PutinGetty Images
MORE ON:
RUSSIA
Waiting for a cyber 9/11...
Miswada mitatu iliwasilishwa na serikali ya Tanzania kwenye Bunge Alhamisi ambayo itairuhusu kuyalazimisha makampuni yanayochimba madini na nishati kufanya mazungumzo juu ya kurekebisha mikataba...
LIBYA: Takribani watu 60 wanahofiwa kufa maji baada ya Boti iliyowabeba wahamiaji 140 kuzama. Walikuwa wakisafiri kuelekea Ulaya
Kwa mujimu wa Asasi ya Kimatafa inayoshughulikia Wahamiaji kupitia...
Wanaharakati katika jimbo la Arkansas nchini Marekani, wanapinga ujenzi wa jiwe moja kubwa lililo na maandishi ya amri 10 za Mungu, kwenye uwanja wa makao makuu ya bunge la jimbo hilo.
Wanasiasa...
Balozi wa Umaja wa Ulaya(EU) nchini Nigeria na nchi za Jumuiya ya ECOWAS, Michel Arrion amesema Umoja wa Ulaya hautaongeza msaada wake wa fedha kwa nchi ya Nigeri.
Kwa mujibu wa Balozi huyo...
Mkandarasi wa jeshi la israel amefanya Jaribio lililofanikiwa la Kombora la Masafa Marefu kutoka kwenye kontena la lililo katika Meli ya kiraia.
Kombora hilo lina uwezo wa Kusafiri hadi KM 400...
At least two people have been shot at a New York City hospital and the gunman is still at large, police said.
The gunfire broke out at 2:50 pm local time on Friday (18:50 GMT) inside the Bronx...
Kijana mwenye umri wa miaka 17 yuko mahututi huko Dertoit Medical Center huko Marekani baada ya kushambuliwa na Polisi akidhaniwa ni jambazi. Kijana huyo alikuwa Benki ndipo uume ulivyokuwa...
Mwanamke mmoja, Li Xitian(58) anaeishi huko Weihui katika jimbo la Henan nchini China anasumbuliwa na ugonjwa wa ajabu usioweza kutibika. Ugonjwa huo ulimuanza miongo inayokaribia 6 sasa.
=====...
Jamani mimi mwenzenu kila nikiangalia nchi ya africa kusini ilivyopata maendeleo na kupiga hatua kimaendeleo,
Kila nikiziangalia nchi za ulaya zilivyo na maendeleo makubwa kiuchumi...
Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame na kiongozi wa upinzani, Frank Habineza ndio pekee waliopitishwa na Tume ya Uchaguzi Rwanda (NEC) kugombea kiti cha urais,kwenye uchaguzi ujao Nchini humo.
Rais wa Marekani, Donald Trump ameweka masharti mapya ya maombi ya hati za kusafiria kwa mataifa sita ya Kiislamu na wakimbizi duniani.
Moja ya masharti hayo ni kuwa anayeomba visa lazima awe na...
Umoja wa Ulaya(EU) umeipiga faini ya Dola za Kimarekani Bilioni 2.72 kampuni ya Google kwa kukiuka masharti ya kibiashara.
========
The European Union has imposed a record €2.42bn ($2.72bn) fine...
The UN children's agency Unicef is formally opening Africa's first air corridor reserved for humanitarian drones today, in Malawi.
The corridor will allow small unmanned aircraft to make...
Utengezaji wa faili moja unaweza kuzuia shambulio la mashine yote.
Hatahivyo watafiti hawajafanikiwa kupata suluhu ya mara moja itakayoweza kuzuia kirusi hicho kuenea katika kompyuta nyengine...
Inegundulika kuwa Russia story ni fake news na CNN iko kwenye hatari ya kuuzwa .Story nying za Russia ni fake na CNN imeanza kupoteza waangaliaji.Woulf blitzer ,Anderson cooper, Don lemon ,wapo...
Serikali nchini Marekani imeanza uchunguzi wa matukio makubwa ya udukuzi katika mifumo ya kompyuta duniani.
Baraza la Taifa la Usalama jijini Washington limesema jana Marekani imedhamiria...
Monalisa Perez mwenye umri wa miaka 19 aliwekwa alipandishwa katika Mahakama moja mjini humo baada ya kumpiga risasi Pedro Ruiz ambaye ni mpenzi wake baada ya kutaniana kwa kuweka kitabu katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.