International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ukiwa mfuata mkumbo hata elimu yako haitakusaidia. Kabla ya kumpinga Trump jiulize umeshawahi kusikiliza hotuba moja kamili ya Trump? Katika hotuba ya saa moja ya Trump vyombo vya habari vya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Shughuli masomo katika vyuo vikuu vya umma zinatarajiwa kulemazwa kuanzia Alhamisi, baada ya Wahadhiri kutangaza mgomo wa Kitaifa. Wahadhiri hao wanalenga kushinikiza Serikali kutoa Sh5.2...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Maafisa wa Afya nchini Kenya wanafanya uchunguzi katika mpaka wake na Uganda eneo la Turkana baada ya maisha ya raia wawili wa Uganda kupoteza maisha karibu na mpaka huo kwa sababu ya ugonjwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
LIBERIA: Mahakama ya Juu imesitisha uchaguzi wa duru ya pili ili kusikiliza malalamiko ya ukiukwaji wa taratibu katika uchaguzi wa awali. - Uchaguzi huo ulipangwa kufanyika tarehe 7 mwezi...
0 Reactions
1 Replies
805 Views
October 31, 2017 New York City, USA Latest news updates 4:38 Eastern Time At least eight people are dead after a driver barreled into a bike path and crashed a rental pickup truck into a crowd in...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mahakama nchini Pakistan imemfunga mwanamume mmoja miezi sita jela baada ya kuoa mke wa pili bila ya idhini kutoka kwa mke wake. Mahakama hiyo ya mjini Lahore pia ilimuamrisha Shahzad Saqib...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Burundi. Sasa ni rasmi kwamba Burundi imekuwa nchi ya kwanza mwanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kujiondoa ikiwa ni mwaka mmoja tangu ilipowasilisha maombi yake. Oktoba 27...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Leo wale wanaolewesha, wanaosema uongo, wamepata washirika wapya teknolojia na wanaweza kukigeuza kitu cha kweli au mtu wa kawaida kama mimi aonekane dikteta mumwagaji damu. Lakini siku chache...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Familia moja nchini India imepigwa na mshangao baada ya mlango wa ndege kuangukia nyumba yao katika mji ulio Kusini mwa India wa Hyderabad. Mwanamume ambaye alikuwa akipaka paa la nyumba rangi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kompyuta ya kikosi cha kumlinda rais wa Marekani inayoripotiwa kuwa na michoro ya jumba la Trump Tower, na taarifa zingine za siri imeibwa kutoka kwa gari la afisa mmoja mjini New York. Hata hivyo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Serikali nchini China ipo mbioni kupitisha sheria itakayotoa maamuzi ya mtu au kikundi cha watu watakaokaidi kusimama wakati wimbo wa taifa ukipigwa kufungwa miaka mitatu jela. Muswada huo tayari...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hackers wa NK wanatuhumiwa kufanya shambulio la wizi wa kimtandao dhidi ya kampuni ya kutengeneza meli, manuari na nyambizi za kijeshi za SK. Kampuni ya Daewoo shipbuilding company, inadai kuibiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ripoti mpya ya mabadiliko ya hali ya hewa imeonyesha kuwa kuongezeka kwa joto kunaathiri afya ya binaadam kwa kiasi kikubwa. Ripoti hizo kutoka kundi la vyuo mbalimbali na mashirika tofauti ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanamke ajulikanaye kama Asiya Bibi anashitakiwa kwa kosa la mauaji ya watu 15, huko Pakstan. Mwanamama huyo, ambaye alilenga kumuua mmewe baada ya kulazimishwa kuolewa na mwanaume asiyempenda...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Urusi imekuwa moja ya nchi katika dunia hii isiyotegemea mchango wa Marekani na Umoja wa ulaya(EU) katika katika maswala ya maisha.kutokana na upatikanaji wa madini mengi ya kila aina,warusi...
6 Reactions
32 Replies
6K Views
Kama kuna mtu hapendi au hakubali kushindwa basi ni mmarekani, kama kuna mtu wa visasi na malipizi basi ni mmarekani... Wao na waingereza wana SLOGAN yao moja WE DO BAD THINGS TO BAD PEOPLE...
19 Reactions
162 Replies
21K Views
CAMEROON: Mahakama ya Kijeshi imemhukumu kifungo cha miaka 25 jela Kiongozi wa Upinzani, Aboubakar Saddiki. Alituhumiwa kwa makosa ya uhaini. Mwanasheria wake na Shirika la Kimataifa la kutetea...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Yan nlkuwa najua Japan n kidume kwa N.k lakn kumbe ni maharagwe yalyooza. Yaan pamoja na kuongoza kwa teknolojia duniani lkn kumbe hamna ki2. Yaan Japan n kunguru kw N.K. Kidume N.K baada y...
10 Reactions
108 Replies
10K Views
Gazeti la Nation lina nakala ya barua ya mwanaharakati huyo ambayo ina majina ya watu 11 wa familia ya Gupta, baadhi yao wakiishi Marekani. Wengine waliotajwa katika barua hiyo ni Zuma...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Picha iliyopigwa na Brianl Nganga wa Kenya, imemuonyesha askari wa nchi hiyo akilia wakati akitekeleza majukumu yake ya kutulia ghasia katika kipindi hiki cha uchaguzi wa marudio nafasi ya...
3 Reactions
24 Replies
7K Views
Back
Top Bottom