International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ndugu wana board, Salaam kwenu. Tunasikitika kuwa na msiba wa ndugu yetu(Mtanzania) uliotokea Marekani (USA) weekend hii. Ninaomba kujulishwa kama kuna anayefahamu utaratibu wa kuzika mwili...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Tume ya uchaguzi Kenya kupitia Mwenyekiti wake Ndugu Chebukati wametangaza rasmi Rais Uhuru Kenyatta mgombea wa chama cha Jubilee kuwa ni mshindi wa uchaguzi wa marudio uliofanyika nchini Kenya...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Rais wa marekani Donald trump atafanya ziara yake korea ya kusini ikiwa ni wakati ambapo hali ya penisula ya korea ni tete, nina maswali mengi sana juu ya ziara hyo lakini ngoja niuliza matatu tu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1 Reactions
2 Replies
841 Views
Instagram: theinnovationhouse14 Join US if you are serious. THE INNOVATION HOUSE BRAND WORLDWIDE Established in 2014 with a vision to deliver the highest level of dedication and professionalism...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
wiki iliyopita nakala za siri juu ya kifo cha JF Kennedy kuwekwa wazi, kuja zaidi ya karatasi 1000 ambazo hazikuwekwa wazi. Raisi Trump amedai ya kwamba nazo zitawekwa wazi baada ya majina na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Zaidi ya kusoma kilimo cha Ndizi Jamaika enzi hizo sijawahi sikia shughuli nyingine ya kiuchumi Jamaika. Ni nchi isiyotajwa sana japo imetoa watu maarufu kama Bob Marley,Bolt,Kuna mchezaji wa...
0 Reactions
56 Replies
10K Views
Mamia ya wafuasi wa vyama vya upinzani wa Guinea Bissau wanandamana ktk mji mkuu wao wakishinikiza Rais wao Jose Mario Vaz ajiuzuru.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Taifa la Burundi hatimaye limekuwa taifa la kwanza kujiondoa rasmi katika mkataba wa Roma unaosimamia mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita ICC. Hatua hiyo inajiri baada ya rais wa taifa...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Habari wakuu... Ni muda muafaka sasa Trump aombe msaada kwa Israel, taifa teule, wasambaratishe mazalia ya ballistic missiles na nuclear reactors za Kim Jong-Un. Kazi hii IDF ikipewa...
4 Reactions
146 Replies
17K Views
Waziri mkuu wa Uhispania Mariano Rajoy ameivunja serikali ya jimbo la Catalonia, bunge la jimbo hilo na ameitisha uchaguzi wa mapema utakaofanyika tarehe 21 mwezi Desemba. Waziri mkuu wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Singapole imesema Februari 2018 itakuwa mwisho wa kununua magari kutokana na wingi wa magari na ufinyu wa ardhi nchini humo uliopo
7 Reactions
78 Replies
9K Views
Baadhi ya nchi za Ulaya na Urusi zimeshambuliwa na kirusi cha Ransomware; Vyombo vya Habari ndio walengwa. Viwanja vya Ndege pia vimelengwa. Vilevile Tovuti ya wadukuzi kubadilishana taarifa za...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Vikosi vya usalama vimefanikiwa kuikomboa Hoteli ya Nasa-Hablod iliyokuwa imetekwa na Wapiganaji watano wa Al-Shabaab. Wanamgambo hao waliivamia hoteli hiyo baada ya kulipua mabomu wliyoyatega...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Madaktari nchini India wamefanikiwa kuwatenganisha mapacha wawili Jaga na Kalia walioungana vichwa waliokuwa na umri wa miakamiwili na nusu Operesheni hiyo ilifanywa na jopo la madaktari 30 kwa...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Tarehe 22 November 1963 ni siku aliyekuwa Rais wa Marekani wa 35 John F Kennedy aliuwawa kwa kupigwa risasi huko Dallas Texas Marekani. Rais Donald Trump amekubali ripoti ama mwenendo wa upelelezi...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama tulivyo hivi karibuni mgogoro wa kujitwnga kwa wacatalani nchini spain huku seeikali ya Madrid ikitumia nguvu kubwa kuizima democracy iliyotumika kujitenga na spain huku ikiiondoa serikali...
0 Reactions
7 Replies
984 Views
Mwanaume mwenye umri wa miaka 33 Valentino Talluto amehukumiwa kifungo cha miaka 24 jela kwa kuwaambukiza wanawake zaidi ya 30 virusi vya UKIMWI, baadaya kufanya nao ngono bila kinga huku akijua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kweli wazungu ni watu wanafki sana wanajarbu kututawala waafrika kwa kutulazimisha tufanye vitu ambavyo hata wao hawafanyi. Katka swala la Catalan kujitoa Hispania kuna vitu vingi nimejifunza...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Wengi wetu tunajua kuwa mataifa yenye nguvu na teknolojia za kijeshi na kivita ni Marekani,Urusi na China! ila ukweli wengi mtakubaliana nami kuwa taifa lenye teknolojia kubwa zaidi duniani ni...
2 Reactions
66 Replies
13K Views
Back
Top Bottom