Marekani itakachoifanyia Korea kaskazini

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,400
Reaction score
872,007
Kama kuna mtu hapendi au hakubali kushindwa basi ni mmarekani, kama kuna mtu wa visasi na malipizi basi ni mmarekani... Wao na waingereza wana SLOGAN yao moja WE DO BAD THINGS TO BAD PEOPLE....
5c019a11be74f6d5b70b64bba853235e.jpg

Dogo kiduku Mr Missile man anamuendesha puta mzungu, kamshika nyeti kisha kamfunua kabisa....! HASIRA YAKE HIYO HAIPIMIKI.....
Bahati mbaya sana kwa marekani ni ngumu kupenyeza mamluki Korea kaskazini labda ROADMAN- THE NIGGER [emoji15] [emoji144] Kipenzi wa dogo kiduku
Hila zote ni ngumu hata za kutuma virusi vya magonjwa....! Kiduku yuko njema sana na anamjua mmarekani vilivyo....!!!
Option iliyobaki ni moja tu kwa sasa... Kutuma undersea missiles za nyuklia rasi ya Korea kaskazini zitakazosababisha tetemeko kubwa la ardhi na chini ya uso wa bahari litakaloathiri vinu vya nyuklia ya Korea kaskazini, miundombinu na wakazi wake....!!!!
Sidhani kama kuna mbinu mpya kwa sasa zaidi ya hiyo kwa bwana visasi..... Muda utasema tuwe na subra
4db519eeaabaf5b809582544ea01f9cb.jpg
 
mtu mzima anadhalilishwa,hii maana yake nini nini? jee dunia imechoshwa na ubabe wake au sasa ameshakua simba mzee asiye kuwa na simba wala kucha? waelwa zaidi mtufahamishe
 
Kama kuna mtu hapendi au hakubali kushindwa basi ni mmarekani, kama kuna mtu wa visasi na malipizi basi ni mmarekani... Wao na waingereza wana SLOGAN yao moja WE DO BAD THINGS TO BAD PEOPLE....
5c019a11be74f6d5b70b64bba853235e.jpg

Dogo kiduku Mr Missile man anamuendesha puta mzungu, kamshika nyeti kisha kamfunua kabisa....! HASIRA YAKE HIYO HAIPIMIKI.....
Bahati mbaya sana kwa marekani ni ngumu kupenyeza mamluki Korea kaskazini labda ROADMAN- THE NIGGER [emoji15] [emoji144] Kipenzi wa dogo kiduku
Hila zote ni ngumu hata za kutuma virusi vya magonjwa....! Kiduku yuko njema sana na anamjua mmarekani vilivyo....!!!
Option iliyobaki ni moja tu kwa sasa... Kutuma undersea missiles za nyuklia rasi ya Korea kaskazini zitakazosababisha tetemeko kubwa la ardhi na chini ya uso wa bahari litakaloathiri vinu vya nyuklia ya Korea kaskazini, miundombinu na wakazi wake....!!!!
Sidhani kama kuna mbinu mpya kwa sasa zaidi ya hiyo kwa bwana visasi..... Muda utasema tuwe na subra
Hawawezi kufanya hivyo kwa sababu wanajua madhara yake mkuu!!!

BigUpKiduku next time fanya mazoezi ya makombora pale long beach..bahamas na kwingineko!!
 
Nimekuja haraka haraka nikijua Mshana jr unatoa mbinu za medani kama zile zilizomfanya Mti Mkavu kutinga ikulu ya Idd Amin bila kuonekana.
[emoji13] [emoji12] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
Back
Top Bottom