Kumbe Japan anamgwaya N. Korea.

simba songea

JF-Expert Member
Feb 8, 2016
1,498
1,211
Yan nlkuwa najua Japan n kidume kwa N.k lakn kumbe ni maharagwe yalyooza. Yaan pamoja na kuongoza kwa teknolojia duniani lkn kumbe hamna ki2. Yaan Japan n kunguru kw N.K.

Kidume N.K baada y kuskia mjapan kmefurahia baada ya yeye kuwekewa vikwazo vya kiuchumi duniani. kmemchimba "beat" Japan ktamuangamiza kw makombora ya nuclear, et nacho Kilvyo kunguru knasema ktaenda kusema kwa USA ili azuie makombora ya N.K yasitue Japan. Yaan haka kajapan kumbe bure kabsa kanashindwa hat ku2mia ufund wake kumpga mkorea mpk kikaseme kw maandsh ma3? ? Sasa kanasfkaje kw ufund dunian afu kanashindwa ku2mia? ? Huyu nae jpu..
 
Kama wewe una akili timamu lakini humuogopi chizi aliyeshika panga kiasi cha kuamua kupita karibu yake kisa tu na wewe una panga, werevu lazima tutilie shaka umakini wako. Haiwezekani uwe mtoni unaoga, aje mwendawazimu abebe nguo na kukimbia nazo, halafu na wewe utoke kwenye maji uanze kumkimbiza kisa una mbio sana.

NK ina bargaining chip ambayo ni nuclear weapons. Hakuna nchi itaigusa NK. Hata USA wakitaka kuipiga NK watahitaji timing kali kama ya kumchinja kobe. Nuke haifai, imagine miaka 30 baada ya ajali ya nuke ya Chernobyl, mpaka sasa eneo hili halikaliki.
 
Japan ina uwezo wa kuisambaratisha N korea kwa dakika ila haiwezi sababu baada ya vita ya pili ilisign pact ya kutokupigana na haikuruhusiwa kuwa na jeshi soma masharti ya UN baada ya vita ya pili ya dunia. N. Korea hawajali nani ataishi wala nani atakufa hivyo wapo tayari kutumia nuklia bomb ambayo itaangamiza siyo tu japan hata viumbe around where it will reach. Kwanini marekani inasita kuishambulia n korea ni hilo tu. Pakistani na India wamezozana sana lakini hawawezi tumia ile kitu wataua waliomo na wasiokuwemo.
Vita ya nuklia ni mbaya na yule dogo kichaa anaweza amua kuitumia bila kujali kitu.Hana mtoto ana mke tu hivyo he can finish the dynasty basi.
 
Hawezi kutumia ni defensive mechanism kazungukwa na maadui kwani yeye ni juha hapendi regime yake anajua atapigwa. So kuwa Nazo means hatoguswa
 
Hawezi kutumia ni defensive mechanism kazungukwa na maadui kwani yeye ni **** hapendi regime yake anajua atapigwa. So kuwa Nazo means hatoguswa
Kwa hiyo Japan hawajamwogopa sababu nchi zote zenye uwezo huo zinaogopana ila ikifikia kipigo cha kawaida, kisheria japan hairuhusiwi kwenda vitani na nchi yotote baada ya vita ya pili the same as ujerumani na italia. inabidi wapewe kibali na mataifa yaliyowapiga kwenye 2 world war according to the pact.
 
Japan ina uwezo wa kuisambaratisha N korea kwa dakika ila haiwezi sababu baada ya vita ya pili ilisign pact ya kutokupigana na haikuruhusiwa kuwa na jeshi soma masharti ya UN baada ya vita ya pili ya dunia. N. Korea hawajali nani ataishi wala nani atakufa hivyo wapo tayari kutumia nuklia bomb ambayo itaangamiza siyo tu japan hata viumbe around where it will reach. Kwanini marekani inasita kuishambulia n korea ni hilo tu. Pakistani na India wamezozana sana lakini hawawezi tumia ile kitu wataua waliomo na wasiokuwemo.
Vita ya nuklia ni mbaya na yule dogo kichaa anaweza amua kuitumia bila kujali kitu.Hana mtoto ana mke tu hivyo he can finish the dynasty basi.
Hapana Mkuu, Kim anamtoto, kumbuka hivi karibuni ntoto wake alipewa cheo cha kuteni akiwa na almost 8 years
 
Japan ilizitawala nchi nyingi za Asia
China,Korea zote,Philippine na visiwa vingi.Baada ya kushindwa WWII walisini pamoja na Ujerumani
Hakuna kupinga vita.Kwa bahati nzuri wametumia akili zao kutengeneza vitu duniani.Leo hii vitu madhubuti vinatoka Japan na Ujerumani.Bila ya kusahau Japan wanayo Manuklia kibao Kati ya hizo
Zinazalisha umeme.
Eti Japan ina mgwaya NK soma mkuu
 
Bora Kim Jong-Un aizamishe Japan and south Korea then, turn USA into ashes ndipo dunia itakuwa kwenye haki.

Mfano, sasa hivi USA na UN wanatoa report uchwara kuwa Tanzania inafanya projects za silaha na biashara na NKorea/ Kim Jong-Un. Hivyo watatuwekea vikwazo mara vya kiuchumi.

Any way, hata sisi tungekuwa na nukes kama Kim Jong-Un, tayari tungetangaza msimamo wa kuifuta USA kwenye uso wa dunia (Just kidding)

Ila Japan, anajua mziki wa nukes ndiyo maana anaogopa sana matamko na majaribio ya nukes.
 
Daah nimekumbuka "KAMIKAZE" ile style ya wajapan vitani.
Inaonekana magaidi ya kiarabu yaliiga suicide from kamikaze. Tofauti ni kwamba kamikaze ililenga kumwangamiza adui wa taifa lao wakati magaidi ya kiarabu wanalenga wasio na hatia.
 
Japan ilizitawala nchi nyingi za Asia
China,Korea zote,Philippine na visiwa vingi.Baada ya kushindwa WWII walisini pamoja na Ujerumani
Hakuna kupinga vita.Kwa bahati nzuri wametumia akili zao kutengeneza vitu duniani.Leo hii vitu madhubuti vinatoka Japan na Ujerumani.Bila ya kusahau Japan wanayo Manuklia kibao Kati ya hizo
Zinazalisha umeme.
Eti Japan ina mgwaya NK soma mkuu
Mkuu hizi chenga!. Japan hana nuclea siraha hata moja!.
Hata siraha zake za kutengeneza zina mwisho wa uwezo wake. Hana kibali cha kutengeneza siraha za nuclea!
Juz hapa walijaribu siraha za kutungulia makombora ya north ila leo wameshindwa kutungua tena!.
Kwa sasa sio South korea au Japan wanaweza kushindana na North kwa siraha!.
Baada ya dakika 6 toka North amerusha Kombora, south wakajibu kwa kurusha makombora mawili kwenye bahari kwa umbali ule ule ambapo north amerusha kombora lake. Lakini hawakuweza kulitungua ilo dude la north
 
Japan ilizitawala nchi nyingi za Asia
China,Korea zote,Philippine na visiwa vingi.Baada ya kushindwa WWII walisini pamoja na Ujerumani
Hakuna kupinga vita.Kwa bahati nzuri wametumia akili zao kutengeneza vitu duniani.Leo hii vitu madhubuti vinatoka Japan na Ujerumani.Bila ya kusahau Japan wanayo Manuklia kibao Kati ya hizo
Zinazalisha umeme.
Eti Japan ina mgwaya NK soma mkuu
Nisome nn Sasa? UKweli ndo huo japan anamgwaya N.K kisingizio cha kusaini mkatab kutopgan vta n porojo 2. Hupgan vta Sasa siraha nzito za kivita za nn wakt Huna ma2miz nazo?? Ndomana hakubase sana kwny utengenezaj wa siraha nzito. So hana vfaa vya kumpga N.K. Japan 4 now hana uwezo wa kumpga N.K
 
Kama wewe una akili timamu lakini humuogopi chizi aliyeshika panga kiasi cha kuamua kupita karibu yake kisa tu na wewe una panga, werevu lazima tutilie shaka umakini wako. Haiwezekani uwe mtoni unaoga, aje mwendawazimu abebe nguo na kukimbia nazo, halafu na wewe utoke kwenye maji uanze kumkimbiza kisa una mbio sana.

NK ina bargaining chip ambayo ni nuclear weapons. Hakuna nchi itaigusa NK. Hata USA wakitaka kuipiga NK watahitaji timing kali kama ya kumchinja kobe. Nuke haifai, imagine miaka 30 baada ya ajali ya nuke ya Chernobyl, mpaka sasa eneo hili halikaliki.
Hahaha Umaskini haupambiki. Ww unadhan japan atakuw na siraha za kumpga N.K? Huyo chizi ni chiz gan asiyezuiliwa mpk Leo? Pia lazm utie shaka nguvu ya Huyo chizi. Hata hvyo ushasema chizi Y akuzd maarfa
 
Back
Top Bottom