Hivi karibuni marekani walisogeza vifaa vya kijeshi nchi zilizo karibu na urusi na kuanza kufana mazoezi karibu na mpaka wa urusi.
Katika hali isiyo ya kawaida marekani na NATO kwa ujumla wamebaki...
Wakuu nilikuwa nawatch CNN ya Marekani, nikamkuta yule tajiri number 2 duniani (Bill Gates) akiwa analiongelea bara la Africa kwa ujumla. Mwandishi wa CNN alimuuliza Bill Gates....kwa nini bara la...
Baba Mtakatifu, Francis amefanya mazungumzo Jana na Wanaanga Sita walioko kituo cha Kimataifa cha Anga za juu(ISS).
katika mazungumzo hayo, Papa Francis amewauliza Wanaanga hao Maswali Matano...
Rais Donald Trump wa Marekani, ameamrisha idara
ya kitaifa ya kuhifadhi kumbukumbu, kutoa zaidi ya
stakabadhi elfu tatu, yanayohusishwa na mauaji ya
aliyekuwa Rais wa Marekani John F. Kennedy...
hillary Clinton na Democratic Party and anti Trump walitafuta sababu Kama Trump akichaguliwa aondolewe madarakani.Uchunguzi unapoelekea wamegundua James comey alitumia fake document kuanza...
Hatua hiyo inajiri wakati ambapo kuna wasiwasi katika eneo hilo huku pande zote mbili zikifanya mizururu ya mazoiezi ya kijeshi.Haki miliki ya pichaREUTERS
Korea Kaskazini inasema kuwa itaiachilia...
Raia wa Afrika Kusini, wengi wao wanachama wa kundi la wapenzi wa jinsia moja wameandamana nje ya ubalozi wa Tanzania mjini Pretoria kushinikiza kuachiliwa huru kwa watu 13 wanaozuiliwa nchini...
AFRIKA KUSINI: Mahakama yawahukumi kifungo cha miaka 11 na 14 wakulima 2(Wazungu) kwa kumteka na kumuweka katika jeneza kijana mweusi.
Wakulima hao walimtishia kumchoma moto kijana huyo na...
Miili mitatu ya familia iliyochomwa moto ikitolewa hospitali tayari kwa mazishi
Baba mmoja katika mji wa Coimbatore nchini India ameiteketeza familia yake kwa kuichoma moto akikwepa kulipa deni...
Watu 10 au zaidi wameuawa na wengne 20 kujeruhiwa kwenye maandamano ya ghasia siku ya Alhamisi kwenye mji wa Ambo mkoa wa Oromia baada ya maafisa usalama kuwapiga risasi waandamanaji
Maandamano...
Baba mmoja katika mji wa Coimbatore nchini India ameiteketeza familia yake kwa kuichoma moto akikwepa kulipa deni la Shilingi 4,300/= za kitanzania.
Mwanamme huyo aliyetambulika kwa jina la...
Chama cha Kikomunisti nchini China kimepiga kura kujumuisha falsafa zake Xi Jinping katika katiba na kumuinua hadi kifikia kiwango alichokuwa nacho mwanzilishi Mao Zedong.
Kura hiyo ya kuunga...
Wanabodi nimeshawishika kuuliza hivi kutokana na maendeleo waliyonayo hawa mabwana pamoja na uwezo mkuu walionao katika kufanya mambo kwa usahihi kabisa, kwanza kitu chochote kilichotengenezwa na...
Police in Limbe Malawi are keeping in custody 21 people suspected of burning to ashes a motor vehicle belonging to a South African pastor.
The suspects are also alleged to have unlawfully wounded...
Amid tensions with North Korea: US sends 12 stealth fighter jets, 300 airmen to Japan
After America and its allies in the Far East began a joint military drill yesterday, the U.S. Air Force...
Watu 23 wamefariki Dunia na wengine 43 wamejeruhiwa baada ya kutokea mlipuko wa moto kwenye kiwanda cha fataki, maofisa wa polisi wamesema.
Kiwanda hicho kina jumla ya wafanyakazi 103. Aidha...
Ninja wa Hisei aliyekamatwa kwa tuhuma za wizi Japan
Maafisa wa polisi wa Japan wanasema kuwa hatimaye wamemkamata mwizi mmoja ambaye alikuwa amevaa vazi la ninja na walishangaa walipogundua...
The State Department's inspector general has looked into complaints that the US ambassador to New Zealand and Samoa, Scott Brown, made inappropriate comments to women during an official visit to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.