International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Hii ni ndege ya Mrusi aina ya SU-35, iko vizuri sana. Ila na huyu rubani anajiweza aisee, mhhh!!! Najiuliza siku ndege kama hii ikivaa silaha nzito na itumike si watu wataumia sana ??? Warusi na...
13 Reactions
170 Replies
29K Views
Kundi kuu la upinzani nchini Burundi wamesema wamegomea mazungumzo ya amani yaliyoanza Novemba 28 - Disemba 8 mjini Arusha Hii inaacha matumaini hafifu kuwa mazungumzo hayo yatasuluhisha vurugu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
EAC, SADC, ECOWAS, AU and UN should have a list of potential countries which coups are likely to happen and proactively take measures to prevent them from happen. The key signs and symptoms of...
1 Reactions
4 Replies
798 Views
Rais wa Mpito, Emmerson Mnangagwa aidhinisha rasmi tarehe ya kuzaliwa ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Robert Mugabe (21 Februari) kuadhimishwa kama Sikukuu ya Kitaifa. Itatambulika kwa jina la...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Kuna zaidi ya wakimbizi 400,000 nchini Libya wengi kutoka Senegal, Ivory Coast, Chad, Somalia, Eritrea na Ethiopia Rwanda imesema iko tayari kuchukua wahamiaji 30,000 waliopo nchini Libya...
4 Reactions
76 Replies
10K Views
Wadau, Waziri Mkuu wa Israel atawasili Nairobi tarehe 28/11/2017 na kurejea nyumbani siku hiyo hiyo. Atahudhuria kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta ======== Msemaji wa serikali Eric Kiraithe...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo imepiga marufuku kufanyika maandamano wiki hii ya kupinga kuendelea kuwepo madarakani kwa Rais Joseph Kabila. Taarifa iliyochapishwa katika mitandao ya habari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mazungumzo ya amani kwa ajili ya kutatua mzozo ulizuka nchini Bueundi mwaka 2015 yang'oa nanga kwa mara ya nne nchini Tanzania Rais wa zamani wa Tanzania William Mkapa baada ya kupewa wadhifa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau mnafahamu mengi yaliyofanywa na wakuu mbalimbali katika nchi zao mambo mema kabisa ya maendeleo. Leo nimekutana na hii picha nimemuonea huruma sana huyu Ndg alipata kuka madarakani kwa miaka...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
By Steven Jiang and James Griffiths, CNN Updated 0823 GMT (1623 HKT) November 28, 2017 [paste:font size="5"] Guo Boxiong and Xu Caihou -- who fell prey to President Xi Jinping's massive...
0 Reactions
2 Replies
977 Views
Jenerali mzalendo, mahiri na mfano wa kuigwa barani Afrika, uzalendo wake hasa katika kuilinda katiba ya Zimbabwe, ni Jenerali kutoka kabila la Washona huyu sio mwingine bali ni Jenerali...
10 Reactions
41 Replies
5K Views
Wahamiaji 31 wamekufa maji na wengine 200 wameokolewa baada ya boti walilokuwa wakisafiria kwenda Ulaya kuzama katika bahari ya Mediterranean karibu na pwani ya Libya.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali ya China imepuuzilia mbali madai kwamba huenda ilihusika katika kumuondoa madarakani kiongozi wa muda mrefu wa Zimbabwe Robert Mugabe. Maswali yameibuka kwamba huenda mshirika huyo wa...
1 Reactions
1 Replies
839 Views
Ndugu Waafrika baada ya kung'oka kwa aliyekuwa Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos aliyedumu miaka 38 madarakani pamoja na Mzee Robert Mugabe wa Zimbabwe ambaye pia amejimwaya mwaya katika...
12 Reactions
68 Replies
9K Views
Habari zenu jukwaani. Kwa mujibu wa Radio DW Germany idhaa ya kiswahili ni kuwa aliyekuwa waziri wa fedha ktk serikali ya Zimbabwe, Ignatius Chombo aamefikishwa mahakamani. Taarifa zaidi zinasema...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Mamia ya wanakijiji katika shamba la Arnold katika kijiji cha Mazowe nchini Zimbabwe walivamia shamba la Grace Mugabe ili kusheherekea kung'atuliwa mamlakani kwa kiongozi huyo waliyedai amekuwa...
4 Reactions
23 Replies
7K Views
Maelfu ya watu waliandamana katika mji mkuu wa Romania, Bucharest na katika miji mingine mikubwa nchini humo kupinga mabadiliko yanayotarajiwa kufanywa katika mfumo wa sheria, ambayo wanasema...
0 Reactions
0 Replies
600 Views
WA N A N C H I wa Zimbabwe wameaswa kumheshimu Rais wa zamani wa nchi hiyo, Robert Mugabe kutokana na kiongozi huyo kutumia muda mwingi wa maisha yake kushughulikia matatizo ya nchi hiyo, licha ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom