International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Zaidi ya raia 100 kutoka Ghana walikuwa wanazuiliwa nchini Libya, wamerudi makwao baada ya Serikali kupata ndege ya kuwapeleka nyumbani. Walienda Libya wakiwa na matumaini ya kufika Ulaya lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Harare, Zimbabwe. Mchungaji mwanaharakati Evan Mawarire aliyeshtakiwa mahakamani kwa jaribio la kutaka kumpindua Robert Mugabe wakati wa mgomo uliodhoofisha usafiri katika miji yote mikubwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Libya imekubaliana na viongozi wa nchi za Umoja wa Ulaya na wa Afrika kuruhusu wahamiaji wanaokabiliwa na mateso katika kambi za wakimbizi nchini Libya kuondolewa nchini humo na kurejeshwa nchini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Madaktari nchini India wameondoa sarfu 263 na misumari 28 tumboni zenye uzito wa takribani kilo 6, mtu huyo awali alikuwa akilalamika kuwa na maumivu ya tumbo Madaktari baadaya kuongea na familia...
1 Reactions
2 Replies
843 Views
Kuna kisa kimoja kizuri kuna watu walipanda boti na boti hio ilikuwa na ghorofa juu na chini na boti hio ilijaza watu wengi,sasa wale watu wa chini wakawa wanawaomba wale watu wa juu maji ila wale...
1 Reactions
2 Replies
913 Views
James Jr (kushoto)na Ted Dresnok wakiwa wamevaa sare za jesh James Dresnok mwanejeshi wa mwisho wa Marekani anafahamika kuinshi nchini Korea Kaskanizi, alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 74...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Watu 50 wameuawa katika mzozo wa kugombea mifugo katika jimbo la Jonglei, Sudan Kusini, miongoni mwao wakiwemo watoto saba. Wizi wa mifugo umekuwa ukifanyika kwa karne kadhaa Sudan Kusini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sissi, leo Jumatano, ametoa miezi mitatu kwa uongozi wa jeshi kuhakikisha usalama umepatikana katika rasi ya Sinai, ambapo mashambulizi yaliyotokea siku ya Ijumaa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron akiwa Ouagadougou nchini Burkina Faso amesema wanachofanyiwa watu Libya ni uhalifu dhidi ya ubinadamu na kwamba atashirikiana na viongozi wengine kutafuta...
2 Reactions
53 Replies
6K Views
Kiasi ya watu wanne wameuawa baada ya kutokea shambulizi la bomu la kutegwa kwenye gari kwenye mji wa Aden, Yemen. Duru za usalama katika eneo hilo zinaeleza kuwa bomu hilo liliripuka nje ya jengo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ultimatum kama hii ilitolewa na Jerry Rawling na baada ya hapo kilichofuata ni kilio. Hiki ndicho tungetegemea itokee hapa TZ maana siyo rahisi kupambana na rushwa au wizi wakati kuna watu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo nimeifuatilia BBC angalau siku nzima,kwa kweli nimeshangaa sana ila nilitegemea. Kuna correspondent mmoja wa BBC yuko Harare anaitwa Ben Brown kila alipokuwa akijiunga na BBC London kutoa...
16 Reactions
115 Replies
11K Views
Mkutano kati ya Umoja wa Afrika (AU) na Umoja wa Ulaya (EU) unatarajiwa kuanza leo mjiini Abdijan. Mkutano huu ni wa tano tangu kuanzishwa kwa ushirikiano kati ya Afrika na Ulaya, unaangazia zaidi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema wahamiaji wa Kiafrika waliokwama Libya wanapaswa kuondolewa nchini humo, akiitaja biashara haramu ya kusafirisha watu kwa njia zisizo halali kuwa uhalifu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo tarehe 28.11.2017 katika uwanja wa Moi Kasarani jijini Nairobi kulikua na tukio la kihistoria la kuapishwa kwa Rais wa Kenya Mh Uhuru Kenyatta na Naibu Rais Mh William Rutto, katika hafla hiyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwanamfalme wa Saudia Miteb bin Abdullah ameachiliwa huru zaidi ya wiki tatu baada ya kukamatwa kwa madai ya kuhusika na ufisadi , maafisa wanasema. Mwanamfalme Miteb ambaye alionekana kuwa...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limekosoa kutangazwa kwa kalenda ya uchaguzi pasina maridhiano ya pande zote husika. Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
0 Reactions
0 Replies
631 Views
Rais wa Kenya baada ya kuapishwa ametangaza na kusema anataka vita ya kiuchumi isonge mbele mara anasema wananchi wa nchi za Afrika Mashariki hususani watanzania wanakaribishwa kuingia Kenya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kansela Merkel anaelekea Côte d'Ivoire kuhudhuria mkutano wa kilele kati ya Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika. Mada kuu ni pamoja na vitega uchumi kwaajili ya matumaini bora zaidi kwa vijana...
0 Reactions
3 Replies
914 Views
Back
Top Bottom