ZIMBABWE: Rais Mnangagwa ampa shavu Mugabe

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,055
Rais wa Mpito, Emmerson Mnangagwa aidhinisha rasmi tarehe ya kuzaliwa ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Robert Mugabe (21 Februari) kuadhimishwa kama Sikukuu ya Kitaifa.

Itatambulika kwa jina la "Robert Gabriel Mugabe National Youth Day" kama ambavyo ilipendekezwa na chama tawala mnamo mwezi Agosti mwaka huu!

Tupate habari kamili.

=======

Mnangagwa’s First Achievement: “Making Mugabe’s Birthday National Holiday!” Outburst Erupts by Zimeye Have your say

Zimbabwe’s President Emmerson Mnangagwa has been criticised for transforming Robert Mugabe’s birthday into a national holiday.

“So Mnangagwa’s first achievement on day one is making 21st February a national holiday?,” complained Farai Dube on Saturday.


Emmerson Mnangagwa

On his first day in office, Mnangagwa gazetted the 21st February as The Robert Gabriel Mugabe National Youth Day.

The notice is contained in Statutory Instrument 143 published in the Government Gazette on Friday.

“His Excellency the President, in terms of Section 2(2) of the Public Holidays and Prohibition of Business Act, hereby makes the following notice: (1) This notice may be cited as the Public Holidays and Prohibition of Business Notice, 2017,” reads the Statutory Instrument.

“(2) It is hereby declared that the 21st February of every year henceforth, shall be a public holiday to be known as the Robert Gabriel Mugabe National Youth Day.”

Calls for former President Mugabe’s birthday to be made a national holiday were adopted by Government in August following intense lobbying by the zanu-pf Youth League.

The day coincides with the 21st February Movement celebrations meant to commemorate the principles and ideals that former president Mugabe stood for.

The 21st February Movement was formed in 1986, by the ZANU PF Youth League under the leadership of then Deputy Secretary for Youth Affairs Webster Shamu.

Recently, the Youth League heightened efforts to make the former president’s birthday declared a national holiday as recognition of his efforts in empowering youths.

Speaking during his acceptance speech at his inauguration as the second Executive President of Zimbabwe on Friday last week, President Emmerson Mnangagwa indicated that the former president needed to be accorded the respect and recognition he deserved as one of the founders and leaders of Zimbabwe.

“To me personally, he remains a father, mentor, comrade-in-arms and my leader,” he said. “We thus say thank you to him and trust that our history will grant him his proper place and accord him his deserved stature as one of the founders and leaders of our nation.”

SOURCE: The Zimbabwean
 
Transition yao naona kama inaendelea kukumbatia monopoly ya chama kimoja ambayo ni hatari kwa Demokrasia ya Zimbabwe na wasitegemee jipya wanaZimbabwe.

Kizazi na crew ya Mugabe and their style wataendelea ku loom large

"Wagema tofauti pombe na mnazi ule ule"
 
Transition yao naona kama inaendelea kukumbatia monopoly ya chama kimoja ambayo ni hatari kwa Demokrasia ya Zimbabwe na wasitegemee jipya wanazimbabwe
Kizazi na crew ya Mugabe and their style wataendelea ku loom large

"Wagema tofauti pombe na mnazi ule ule"
Kweli kabisa hakuna jipya pale.
 
kilichobadilishwa zimbabwe ni kiongozi tu wala si mfumo hivyo basi wazimbabwe wasitegemee mabadiliko wanayoyafikiria
 
Sasa Akifa napo? Ina maana Mugabe holiday ziwe mbili yani Birth na Death, Naona wagema wawili tofauti but still mnazi ni ule ule
 
Transition yao naona kama inaendelea kukumbatia monopoly ya chama kimoja ambayo ni hatari kwa Demokrasia ya Zimbabwe na wasitegemee jipya wanazimbabwe
Kizazi na crew ya Mugabe and their style wataendelea ku loom large

"Wagema tofauti pombe na mnazi ule ule"
Kwa taarifa yako vyama vingi ni kuongeza umasikini tu.na mmeshikiwa akili na hiyo habari ya vyama vingi bila manufaa yoyote.nchi zote masikini zinapaswa kuhubili kufanya kazi tu kwa bidii ili tujinasue kwenye umasikini.siasa ya misuguano eti vyama vingi ni kupoteza muda tu na pesa ambazo zilipaswa ziende moja kwa moja kwenye maendeleo ya wananchi.
 
Nampongeza sana Mnangagwa! Amekuwa muungwana! Mugabe anastahili heshima sana! Ameweza kutunza raslimali za Zimbambwe kuanzia ardhi mpaka madini! Ardhi haiozi na madini hayaozi! Kizazi kijacho kitaiendeleza ardhi na kitachimba madini yake! Aliwanyang'anya wazungu ardhi japo walikuwa na uwezo wa kuiendeleza na akawapa wananchi hiyo ardhi japo hawakuwa na uwezo wa kuiendeleza! Sisi huku tumegawa migodi na tulikuwa tunaambulia mrahaba wa asilimia tatu! na kodi walikuwa hawalipi kwa madai ya kutokupata faida!
 
Back
Top Bottom