Nimejiuliza tu ofisi kubwa vile inaweza kuvamiwa Na wadudu Kama mende.
Under Melania Trump, the White House is gradually becoming darker and darker in preparation for her Christmas from hell. But...
Roboti ya kwanza kupewa uraia mbali na jina Sophia sasa inataka mtoto.
Mwezi mmoja baada ya kuweka historia nchini Saudia roboti hiyo inayofanana na binadamu kwa maumbile imesema kuwa 'familia ni...
Wadau
Rais wa Marekani anatarajia kutangaza wiki ijayo kuutambua rasmi Yerusalem kuwa mji Mkuu wa Israel. Hatua hii inaonekana kutimiza ahadi yake aliyoitoa wakati wa kampeni za uchaguzi Mkuu...
Mtu mmoja raia wa China amepigwa faini baada ya kupatikana katika kamera akipaka rangi ishara mpya za barabarani ili kurahisisha safari yake kuwa rahisi.
Gazeti la Modern Express limeripoti...
Makampuni binafsi yaliyopewa kazi ya kukodisha wanajeshi kwenda vitani IRAQ na AFGHANISTAN na sehemu nyingine yalikuwa yakichukua wapiganaji kutoka baadhi ya nchi za Afrika kama SIERRA LEONE na...
Kampuni ya vifaa vya mawasiliano ya AT&T Inc imetangaza kukubaliana na kampuni ya Time Warner Inc deal ya dola za Marekani kiasi cha Bilioni 85.4, ikiwa ni malipo ya kuvinunua vituo vya TV...
Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov amesema kwamba Marekani imekua ikiichokoza makusudi Korea Kaskazini. Urusi inasema kwamba wanashuku kwamba Marekani inatafuta tu sababu ama kisingizio...
Marekani wang'amua mpango wa Korea Kaskazini kurusha kombora la Masafa marefu muda huu
> Aidha, Japan na Korea Kusini pia viashiria hivyo pia
======
US detects N. Korea missile launch
The...
Mamlaka nchini Saudia inamchunguza mwanamke mmoja aliyechapisha kanda yake ya video akiwa amevalia sketi fupi na tishet ilio wazi hadharani.
Mwanamke huyo ambaye ni mwanamitindo kwa jina Khulood...
Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergei Lavrov amedai Marekani ndiyo imekuwa ikiichokoza Korea Kaskazini na kuichochea kuongeza kasi mpango wake wa silaha za nyuklia.
Amepuuzilia mbali wito kutoka...
wanajamvi ilikuwa haipiti siku au wiki bila kumzungumzia bwana KIDUKU(dodoki) na majaribio yake...lakini toka wenye dunia yao(USA)kuonyesha dhaili pasipo kumung'unya maneno kuwa sasa umefika...
jamani korea kaskazini inajiandaa kufyatua kombora lingine ikiwa ni siku chache baada ya kujaribisha kombora lake aina ya hwasong-15 lenye uwezo wa kulenga sehemu yeyote ndani ya marekani...tayari...
Marekani imeyataka mataifa yote kukatiza uhusiano wa kidiplomasia na ule wa kibiashara na Korea Kaskazini baada ya taifa hilo kufanyia jaribio la kombora lake la masafa marefu.
Akizungumza katika...
MAREKANI: Mshauri wa zamani wa Rais Trump kwenye masuala ya Usalama, Michael Flynn amekutwa na kosa la kuidanganya FBI kuhusu mawasiliano yake na Balozi wa zamani wa Urusi wakati taasisi hiyo...
Rais Mnangagwa wa Zimbabwe ambaye alitwaa madaraka kwa msaada wa Jeshi la nchi hiyo ameteua Baraza la mawaziri na kutoa nafasi muhimu kwa maofisa wa kijeshi, mkuu wa majeshi ya anga Perence Shiri...
ZIMBABWE: Rais Emmerson Mnangagwa ameunda baraza jipya la mawaziri, amewaweka maafisa wa jeshi waliomuunga mkono katika wizara kadhaa na pia kuwabakisha maziri wengi wa kipindi cha Mugabe...
Viongozi wetu wa Africa mnafuatilia yanayoendelea kule The Hague, Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita? Kuna halifu moja la kivita la huko Croatia limekunywa sumu, limekufa, kabla ya hukumu...
Mwanasheria nguli na Wakili wa Mahakama kuu nchini Uingereza Giovanni Di Stefano ameweka kusudio la kufungua shauri kwenye mahakama ya haki ya umoja wa Ulaya (The Court of Justice of the European...
Moja ya habari ambayo haivumiliki endapo utaisikia masikioni hivi sasa ni uwepo wa Biashara ya utumwa ambayo inatukumbusha machungu ambayo tulishaanza kuyasahau kutokana na kuteswa kwa mababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.