Wahamiaji 31 wamekufa maji bahari ya Mediterranean

Wahamiaji 31 wamekufa maji bahari ya Mediterranean

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,195
Reaction score
64,630
Wahamiaji 31 wamekufa maji na wengine 200 wameokolewa baada ya boti walilokuwa wakisafiria kwenda Ulaya kuzama katika bahari ya Mediterranean karibu na pwani ya Libya.
9bbf8412d88d195aade4fb4e628d631e.jpg
 
Back
Top Bottom