MALAYSIA: Serikali inaangalia uwezekano wa kutengeneza sheria ili kukabiliana na habari za uongo ambazo zinatishia utulivu wa kisiasa na amani ya Umma
Waziri Mkuu wa nchi hiyo amesema swala hilo...
Maxine Waters(Democratic Congresswoman) alitumia muda mrefu kuongea kwa jaziba/kulalamika kwamba Urusi anamtumia China na Korea Kaskazini kuunda ushirika dhidi ya taifa la Marekani. Na vilevile...
Marais wa Phillipines na Venezuela, Rodrigo Durtete na Nicolas Maduro respectively, wanachunguzwa na ICC kwa kukiuka haki za Binadamu (crime against humanity). Durtete anashutumiwa kuwaua...
Taarifa zinasema kuwa raia wawili wa Uingereza wanaodhaniwa kuwa wanachama wa kikundi cha wapiganaji wa Kiislam cha IS wanashikiliwa na kundi la wapigaji wa Kikurd.
Alexanda Kotey mwenye umri...
Gazeti la " Sunday Nation" la February 4, 2018 linalochapishwa kila Jumapili huko Nairobi lilikuwa na taarifa kuhusu watu wazee sana wenye umri zaidi ya miaka 110. Kwa mujibu wa taarifa hiyo kuna...
Jaji wa Oklahoma nchini Marekani, Wallace Coppedge anakabiliwa na shinikizo la kuondolewa katika nafasi yake kufuatia uamuzi wake wa kutomfunga jela mbakaji wa mtoto wa kike mwenye umri wa miaka...
Timu za waokoaji katika eneo la mashariki mwa nchi ya Taiwan zimeendelea Alhamisi kuchimba vifusi vya jengo la makazi lililoporomoka baada ya tetemeko la ardhi la Jumanne.
Maafisa wa idara ya...
Kundi la kigaidi la Al-shabaab la nchini Somalia limeripotiwa kuendesha mafunzo kwa wazee na kufanya mashindano ya kulenga shabaha kwa kutumia bunduki.
Tovuti yenye uhusiano na kundi hilo imeweka...
Taifa la Korea Kaskazini linatarajiwa kuandaa maadhimisho ya 70 ya gwaride la jeshi lake kabla ya kufanyika kwa michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi nchini Korea Kusini.
Gwaride la kila mwaka...
ETHIOPIA: Serikali imepanga kuwaachia huru wafungwa 746 wakiwemo Wanahabari na Wapinzani wa Serikali waliofungwa kwa tuhuma za kutaka kufanya ugaidi nchini humo.
Hatua hii ni sehemu ya mpango wa...
Muungano wa wanafunzi wa chuo kikuu nchini Canada wamepatwa na mshangao pale walipopokea mzigo wa kushangaza wa vifurushi vya midoli ya ngono mpaka taa .
Mizigo isiyotarajiwa iliyotumwa kupitia...
Afisa wa afya wa India amesema daktari feki aliyekuwa akiwatibu wanakijiji wenye magonjwa ya kuharisha, vifua na mafua amewaambukiza zaidi ya watu 21 virusi vya UKIMWI kwa kutumia sindano.
Afisa...
Zaidi ya watoto 300 ambao walikuwa wanatumika kama wanajeshi nchini Sudan kusini wameondolewa katika vikosi vya makundi yenye silaha jana, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia...
Mashua mbili za abiria zimezama na kusababisha vifo vya watu sita nchini Nigeria.
Kituo cha habari cha Nigeria NAN kimeripoti kuwa mashau hizo zilikuwa zimebeba watu 78 katika jimbo la Kebbe...
Wahamiaji kutoka Afrika, wengi kutoka Eritrea na Sudan kusini(Darfur) waliokimbilia nchini Israel wametakiwa kuondoka nchini humo au wakabiliane na kifungo!Bila kumumunya maneno wahamiaji hao...
Mahakama nchini Banladesh imemhukumu Waziri Mkuu wa zamani, Khaleda Zia kwenda jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya rushwa
Zia ambaye ni kiongozi mkuu wa upinzani nchini humo pamoja na...
Police nchini China wameanzisha utaratibu wa kuvaa miwani zenye technology ya kuunganisha habari za mtuhumiwa na internal data base
Yaani police akikuangakia tu anapata habari zako zote.
Facia...
Kiongozi wa chama tawala nchini Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema kwamba anafanya mazungumzo ya moja kwa moja na rais Jacob Zuma kuhusiana na makabidhiano ya madaraka na masuala yanayohusiana...
A Russian pilot who was forced to eject from his stricken jet over Syria killed himself with a grenade to avoid being captured by jihadists — as he shouted, “This is for our guys!”
Maj. Roman...
COLONEL JOHN TSHIBANGU MIKONONI MWA VYOMBO VYA SHERIA VYA SERKALI YA CONGO. Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasa ya Kongo imethibitisha kumpokea kanali wa zamani wa jeshi la nchi hiyo John Tshibangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.