Hizbullah: Zama za Israel kufanya mashambulizi bila majibu zimepita
Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, zile zama za utawala wa Kizayuni wa Israel kufanya mashambulizi na...
Urusi: Abiria 71 wamafariki dunia baada ya Ndege ya Shirika la #SaratovAirlines waliyokuwa wakisafiria kuanguka huko Moscow mapema jana mara baada ya kuapaa angani.
Ndani ya Ndege hiyo walikuwemo...
Referencing tomorrow's UN vote criticizing the US embassy move. In the words of the President, "Let them vote against us, we'll save a lot."
President Trump Cuts Funding To U.N. After Israel Vote...
Watu 13 ambao walitekwa mnamo mwaka 2017 na kundi la kigaidi la Boko Haram wameachiwa huru. 10 kati yao ni Maafisa Polisi wanawake na 3 walikuwa Wahadhiri wa Chuo Kikuu.
==========
Boko...
Shirika la habari la Sudan-SUNA liliripoti kwamba Rais wa Sudan Omar al-Bashir amemuondoa madarakani mkuu wake wa usalama na kumrudisha ofisa mwandamizi ambaye alisaidia kuanzisha mashauriano ya...
ISLAMABAD - Pakistan has banned events marking Valentine’s Day, and media coverage of them, for the second year in a row after a court ruled the holiday un-Islamic.
The Pakistan Electronic Media...
Tshibangu aliyempa Kabila siku 45 arudishwa Congo...
John Tshibangu, Kanali aliyeasi, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, amefikishwa nchini humo na kuzuiliwa kusikojulikana nchini humo...
Rais Rodrigo Duterte ameiambia Mahakama ya ICC imchunguze na ikithibitika kuwa anakiuka Haki za Binadamu basi auawe.
Takribani watu 4,000 wameripotiwa kuuawa kwa agizo la Rais Duterte ikiwa ni...
Makamu rais wa Marekani, Mike Pence amegoma kuwepo katika chakula cha jioni ambacho alitakiwa kukaa meza moja na kiongozi wa serikali ya Korea Kaskazini Kim Yong-nam.
Taarifa kutoka chombo cha...
Vita vya Syria March 2011 na dhumuni kubwa la vita hivi ilikuwa kumwondoa madarakani Rais Assad wa nchi hiyo. Zaidi ya watu laki Tatu wameshapoteza maisha yao na mamilioni wamekimbia nje ya nchi...
Kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini amwalika rais wa Korea Kusini kufanya ziara nchini mwake
Kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amemwalika rais Moon Jae-in wa Korea Kusini kufanya ziara...
Nidhahiri shahiri kwamba maandamano yanayo endelea huko Iran, ambayo hata kinara wa maandamano hayo hajulika kwa kile wanacho dai ni kutokana na kupanda gharama za bidhaa, ukata wa mfukoni kunako...
Rais wa Marekani Donald Trump ameripotiwa kumpiga marufuku mchezaji wa zamani wa Argentina na mshindi wa Kombe la Dunia, Diego Maradona kuingia nchini Marekani.
Mwanasheria wa mwanasoka huyo wa...
Waisrael walipounda Taifa lao mwaka 1949, waliweka sheria kuwa myahudi yeyote popote pale alipo ana haki ya kurejea Israel na kuwa raia. Hii haki haijalishi kama wewe unamuamini Mungu au humuamini...
SYRIA: Wapiganaji zaidi ya 100 wamefariki baada ya ndege za Kivita za Marekani kumshambulia Wanajeshi wanaounga mkono uongozi wa Rais, Bashar Al-Assad usiku wa kuamkia Alhamisi . Ndege hizo za...
Mamlaka nchini Israel zimewapa machaguo mawili wakimbizi wa Kiafrika walioko nchini Israel. Waafrika hao wanatakiwa kukubali kupokea $3500 na kurudi Africa au laaah wafungwe jela.
Waafrika hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.