INDIA: Daktari aambukiza wanakijiji 21 VVU kupitia sindano; atoroka na kujificha

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,534
2,000
Afisa wa afya wa India amesema daktari feki aliyekuwa akiwatibu wanakijiji wenye magonjwa ya kuharisha, vifua na mafua amewaambukiza zaidi ya watu 21 virusi vya UKIMWI kwa kutumia sindano.

Afisa huyo amesema Polisi wanamtafuta daktari huyo aliyejulikana kwa jina la Rajendra Yadav ambaye ametoroka kijijini hapo, Bangarmau

Wanakijiji wamesema ni mara chache sana walikuwa wakimuona daktari huyo kubadili sindano. Kitu ambacho Afisa anasema yaweza kuwa sababu ya maambukizi ya VVU

Kutokana na uchache na ugumu wa kupatikanaji wa Madaktari, Watu wa India wamekuwa wakitafuta Madaktari feki kwa matibabu ya bei ndogo.
==================

An Indian health official says a fake doctor treating poor villagers for colds, coughs and diarrhea has infected at least 21 of them with HIV by using contaminated syringes and needles.

Sushil Choudhury, the official, says police are looking for Rajendra Yadav, who has fled Bangarmau, a small town in the northern state of Uttar Pradesh.

The villagers say they rarely saw him changing the needles. Choudhury said Tuesday that probably led to the spread of HIV.

With India’s health care system facing a massive shortage of doctors and hospitals, millions of poor people seek fake doctors for cheap treatment.

India had 2.1 million people living with HIV at the end of 2016, according to UNAIDS.

Source: AP
 
Mwambwaro

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
2,009

ivunya

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
2,228
2,000
Madaktar bingwa wapo wengi kwa jamii ya kitajili siyo kwa Masikini wa india wametafuta bei rahisi Hao
 
kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,692
2,000
DR.jpg

Polisi nchini India wanamtafuta Daktari feki kwa kusababisha zaidi ya watu 21 kupata maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.

Ambapo taarifa iliyotolewa na Afisa wa afya wa India inasema kuwa daktari huyo feki amekuwa akiwatibu wanakijiji wenye magonjwa ya kuharisha, vifua na mafua kwa kutumia sindano moja.

Daktari huyo anajulikana kwa jina la Rajendra Yadav ambaye ametoroka kijijini hapo, Bangarmau kufuatiwa na tuhuma hizo zinazomkabili.

Wanakijiji wamesema ni mara chache sana walikuwa wakimuona daktari huyo kubadili sindano. Kitu ambacho Afisa anasema inawezekana kuwa sababu ya maambukizi hayo ya VVU

Kutokana na uchache na ugumu wa kupatikanaji wa Madaktari, Watu wa India wamekuwa wakitafuta Madaktari feki kwa matibabu ya bei ndogo.
 
kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
8,432
2,000
India kuna maskini wengi sana na madaktar bingwa wengi wapo mijuini kwenye matajiri
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom