Mwakamajoka
Senior Member
- Nov 21, 2017
- 170
- 149
Maxine Waters(Democratic Congresswoman) alitumia muda mrefu kuongea kwa jaziba/kulalamika kwamba Urusi anamtumia China na Korea Kaskazini kuunda ushirika dhidi ya taifa la Marekani. Na vilevile akasema RT walihusika kwenye kudukua moja ya hotuba zake.
Maxine Waters ameeleza imani yake dhidi Urusi kwa kuwa na ushawishi mkubwa kwa Raisi Donal Trump.
Wakati wa kujadiri uchunguzi wa tuhuma za Urusi kuingilia uchaguzi mkuu wa Marekani 2016,Maxine Waters ameilaumu Urusi kwa kufanya udukuzi kwenye Mkutano (Democratic National Committee). Maxine Waters amesema sababu ya kufanya udukuzi ni kutengeza mazingira ya vikwazo na kisha kutengeza/kupiga pesa.
"The country is in Danger, it's in danger, I mean this strutting around with Russia. Russia doesn't care anything about us, they have nuclear capabilities pointed right at the United States. They have the nerve to meet with Kim Jong Un over in North Korea and he's crazy. He hates us!."
Maxine Waters akaendelea kusema kwamba Raisi wa Urusi Vladimir Putin anaunda Umoja wa ki-nyuklia dhidi ya Taifa la Marekani. "Vladimir Putin hachezi mbali, anazidi kusambaza/kuongeza nguvu yake", M.Waters.
"Given, i believe, the opportunity not only to have alliances with China and North Korea and others, all with this nuclear capability, they are coming after us i believe that."
‘They’re coming after us’: Maxine Waters says Russia, China & N. Korea ganging up on US
UNAWEZA SOMA NA HII PIA:
North Korea got missile parts through Berlin Embassy, says German Security Chief.
North Korea got missile parts through Berlin embassy, says German security chief