South Africa's embattled president Jacob Zuma has been planning to set up home in Dubai, according to emails published in South African media.
The reports suggest deepening ties between President...
AFRIKA KUSINI: Kura ya kutokuwa na imani na Rais Zuma kupigwa Bungeni kesho baada ya Rais huyo kutotekeleza wito wa kujiuzulu ndani ya saa 48
> Wabunge wa ANC wataitumia hoja ya kutokuwa na imani...
Anachofanya Zuma ni kupima upepo tu na usiku wa leo msidhani atalala bali atautumia kumwandika barua Spika wa Bunge la Afrika kusini kumjulisha kuwa anatangaza kujiuzulu.
Barua hiyo anaweza...
February 13, 2018 stori kubwa kutoka kwa “Tata Madiba” kuhusu uamuzi aliouchukua Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amekubali kuachia madaraka ya kuongoza nchi hiyo, baada ya wito uliotolewa na...
ZUMA APEWA SAA 48 KUJIUZULU:
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepewa saa 48 kujiuzulu, wadhfa wake huo.
Kwa mujibu shirika la Utangazaji la Afrika Kusini -SABC- na vyanzo vingine vya habari...
Kwa wale wafuatiliaji wa siasa za Afrika hasa wanachama wa SADC kwa karibu zaidi tumekuwa tunafualia kashfa anazopambana nazo Mhe. Dr. Zuma nchini kwake ikiwa anajiuzulu leo nani atamrithi...
Shirika la Kuwahudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema, wakimbizi wanne kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wamekufa maji baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuelekea...
Mwanasheria binafsi wa Rais Marekani, Donald Trump amekiri kumlipa kiasi cha Dola 130,000 sawa na zaidi ya Milioni 295 za Kitanzania nyota wa filamu za ngono aliyedai kuwahi kuwa na mahusiano ya...
Serikali ya Rwanda inatarajia kukipiga manada Kiwanda cha Tumbaku kinachomilikiwa na familia ya mwanasiasa wa upinzani, Diane Rwigara ili kuweza kurejesha TZS 13.5bn zinazodaiwa. Pia, akaunti za...
Kikudindi Cha kigaidi ISIS upande wa Sinai misri kimetangaza Vita dhidi ya Hamas Palestina nakuwataka waislam wote kukishambulia kwasababu siyo waislam wa kweli wanafuata mrengo wa kishia Na...
Korea Kusini imetoa msaada wa fedha kiasi cha milioni mbili dolla za kimarekani, kwa ajiri ya kulipia gharama za wachezaji wa michezo ya olympic waliotoka Korea Kaskazini.
Chanzo BBC.
Hivi Mike...
Idara ya Usalama ya South Africa (The Hawks) imevamia Makazi ya Familia ya Gupta huko Saxonworld, Johannesburg leo asubuhi.
Taarifa juu ya sababu ya kuvamia makazi hayo bado hazijajulikana.
Kaka...
Najiuliza lini haya yatafika bongo!!
=======
Dutch Foreign Minister Halbe Zijlstra has resigned, a day after he admitted lying about overhearing Russia’s President Vladimir Putin. In 2016...
Rais mstaafu wa Liberia Sirleaf Johnson ameshinda Tuzo la Mo Ibrahim.
Toka mwaka 2014 hakuna kiongozi yeyote aliyepata zawadi hii. Huyu mama ameondoka madarakani kwa kuiacha Liberia kwenye hali...
Israeli police say Prime Minister Benjamin Netanyahu should be charged over alleged bribery cases, the country's media report.
Police questioned Mr Netanyahu as part of an inquiry into corruption...
Karani mmoja nchini Nigeria amefukuzwa kazi baada ya kuwaambia wakaguzi wa hesabu kuwa nyoka alikula naira milioni 36.
Pesa hizo ni sawa na dola 100,000 za kimarekani sawa na zaidi ya Milioni 227...
Soyuz Rocket ya urusi ikiwa na mzigo wa tani 3 na vitu vingine muhimu(supplies) kwa ajiri ya kituo cha anga cha kimataifa imefanikiwa kuruka baada ya changamoto zilizotokea siku ya J'3.
Ratiba...
Wakati fulani Mandela alisema angetamani awe Raisi wa Afrika Kusini enzi kina Nyerere wakiwa madarakani. Nimefikiria sana juu ya viongozi wa Afrika waliopita, na kujiuliza hali ingekuwaje ikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.