Mama mmoja nchini China ameamua kukamua na kuuza maziwa yake mwenyewe ya kumnyonyesha mwanae ili kuweza kupata fedha itakayomsaidia kulipia gharama za hospitali kwa ajili ya binti yake mgonjwa...
China has been accused of spying on the African Union (AU) headquarters, in the Ethiopian capital Addis Ababa, which they built in 2012 to house and host continental meetings and the biannual...
Jeshi la Uturuki, limepata pigo baya mno vitani, katika makabiliano yake dhidi ya wanamgambo wa Kikurdi ndani ya Syria Kaskazini mwa nchi hiyo, baada ya wanajeshi wake 7 kuuwauwa.
Wanajeshi...
Takribani watu wanne wamefariki na wengine 225 wamejeruhiwa baada ya tetemeko la ardhi lenye kipimo cha ukubwa wa 6.4 kuikumba nchi hiyo
Kwa mujibu wa Shirika la habari la CNA la Taiwan zaidi ya...
Trump asema yupo tayari kuongea kwa simu na Kim Jong Un na anatarajia matokeo mazuri ya mazungumzo kati ya NK na South Korea.
NK ilikubali Ijumaa (Januari 5) kushiriki mazungumzo rasmi na Korea...
Taifa takatifu, Teule la Mungu, Yaan la mzizi wa yakob ndugu ye Essau watoto wa Issak, Mjukuu wa Abraham, Baba wa Imani,
Kiongozi wa Israeli Benjamin Netanyau ametangaza waafrica wote waliohamia...
Gazeti la NewsDay la nchini Zimbabwe limeripoti kuwa Madaktari wanaomtibu kiongozi mkuu wa upinzani wa Chama cha MDC-T, Morgan Tsvangirai anayesumbuliwa na maradhi ya saratani, wamesema ana miezi...
Watumishi wa umma wataanza kukatwa kwenye mshahara wao asilimia kadhaa ili kufidia gharama uchaguzi 2020.
Baadhi kukatwa hadi dollar 50 ili kusaidia uchaguzi huo utakaofanyika.
Hii ni kwa...
Pretoria, Afrika Kusini. Maofisa wa ngazi ya juu wa chama tawala cha African National Congress (ANC) walikutana Jumapili na Rais Jacob Zuma katikati ya shinikizo la kumtaka kiongozi huyo mwenye...
Kamati ya viongizi sita wa juu wa chama cha ANC huko Afrika Kusini, kwa niaba ya Kamati Kuu ya ANC, ilipewa jukumu la kufikisha ujumbe kwa Raisi Zuma na kumuambia ajiuzulu uraisi wa Afrika Kusini...
Kundi lenye itikadi kali za Kiislam la Boko Haram,jana limechoma kijiji kizima kilichoko Kaskazini Mashariki mwa nchi ya Nigeria,na kuua watu wawili kwa kuwachoma wakiwa hai.
kwa mujibu wa...
Habari wadau wa international forum.
Hivi karibuni kumekuwa na baadhi ya wanyarwanda wanaokimbilia nchi jirani ya Uganda kukwepa mkono wa kagame. Maafisa wa Rwanda wamekuwa wakiingia Uganda na...
Zari Hassan has been hoping that she will be the one Diamond Platnumz chooses to marry and unfortunately his heart seems to be somewhere else. She went to the extent of escorting him to Naivasha...
Nchi ya Pakistani yapiga marufuku kusherehekea sikukuu ya Valentine nchini humo. Mahakama kuu nchini humo imetoa tamko, ni marufuku kabisa kusherehekea sikukuu hiyo hata media za nchini humo...
Diego Armando Maradona wengi wetu tunamfahamu kama gwiji wa mpira na mchezaji hodari kuwahi kutokea ulimwenguni.Umaarufu wa Maradona kwa wengi umetokana na uwezo wake muruwa wa kusakata kabumbu...
BUNIA: Congolese authorities say at least two dozen people are dead in several villages following an outbreak of intercommunal violence in the country’s northeast.
Lt. Jules Ngongo, the military...
Ni Kama sinema ya Bruce Willis ya Die Hard.
Robert Mugabe, hajamaliza bado na sasa anakuwa kama Bruce Willis katika sinema ya Die Hard. Baada ya kupinduliwa kinamna na Jeshi la Zimbabwe, Mugabe...
Hii ni just bad theory, kumekuwepo na theory nyingi juu ya origin ya Tutsi ethnic na wengine huja na hypothesis zilizovuka mipaka. kuna wengine wanasema origin ni Ethiopia or Somalia...whatever...
Israel imeanza kutoa onyo kwa maelfu ya wahamiaji wa kiafrika tangu hapo jana ikiwataka waondoke nchini humo kufikia mwezi Machi. Maafisa wanasema kwamba endapo onyo hilo halitotekelezwa wahamiaji...
Padri Sebastien Yebo wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Robert katika eneo la N'sele jijini Kinshasa- Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ameachiliwa huru jumapili hii. Padri huyo alitekwa siku ya jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.