International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Malé, Maldives. Mahakama ya Juu imemshutumu Rais Abdulla Yameen kutokana na uamuzi wake wa kukataa kuwaachia huru wapinzani katikati ya mgogoro wa kisiasa unaongezeka kufikia hatua vikosi vya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Maelezo/Mazungumzo ya kina hayajawekwa wazi lakini viongozi wa Chama wanakutana kwenye kikao cha dhalura leo Jumatatu. Mr. Zuma ambaye anakabiliwa na tuhuma za rushwa, nafasi yake ya kukiongoza...
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Kundi la wanaharakati wenye imani ya Kiislam nchini Ghana limeitaka Serikali ya nchi hiyo kumzuia Rihanna kukanyaga nchini humo kwa madai kuwa anahamasisha ushoga na waabudu shetani (freemasons)...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Raia wa Oman, baba kijana mwenye umri chini ya miaka 40 ameanza safari mwaka Jana 22/07/2017 kuzunguka bara la Africa baada ya Babu zake kuzunguka kwa mashua karne zilizopita. El Baruan ktk...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau hamjambo, Ni jumapili nyingine tena tunakutana hapa kwa wale wapenzi wa siasa za kimataifa, angalau tujulishane kuhusu jambo hili. Kwa wale wanaojua/kukumbuka historia ya nchi za Afrika...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
China wamefanikiwa kwa mara ya kwanza kufanya cloning iliyotoa nyani wawili kutoka nyani mmoja (kama vile kuzalisha nyani mwingine kwa photokopi bila nyani kujamiiana) Akihojiwa na Television ya...
5 Reactions
81 Replies
55K Views
Sen. John McCain On Nunes Memo Release: 'We Are Doing Putin's Job For Him' The Arizona senator blasted the memo, which President Donald Trump declassified against the wishes of the intelligence...
2 Reactions
2 Replies
984 Views
Mtoto Mkubwa wa Aliyekuwa Rais wa Cuba Hayati, Fidel Castro amejiua akiwa na umri wa miaka 68 ====== HAVANA (AFP) - The eldest son of the late Cuban president Fidel Castro committed suicide on...
3 Reactions
48 Replies
7K Views
Jaji Kiongozi (Head of anti corruption court) Bwana . Danladi Yakubu Umar alipokea mlungula wa US$ 27,800 na US$ 5000 ili aweze "kumlegezea mtu kesi ambazo zilikuwa mbele yake. Kitengo cha...
0 Reactions
2 Replies
893 Views
Wafanyakazi wa umma nchini Burundi wameanza kukatwa mishahara ili kufadhili uchaguzi mkuu unaotarajiwa mwaka wa elfu mbili na ishirini. Katika kipindi cha miaka miwili ijayo, raia wote wa Burundi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya Rais Museveni wa Uganda kubadilisha katiba na kugombea nafasi ya urais tena, huko Rwanda napo Rais Kagame kugombea urais na kumweka ndani mpinzani wake, huko DRC Rais Kabila kupiga risasi...
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Idara ya afya ya Mashariki mwa Cape own nchini South Africa ilitoa onyo baada ya watu zaidi ya 50 ambao walikula nyama ya ng’ombe waliokufa kupelekwa hospitali mbalimbali Alhamisi katika jimbo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
leo Jumatatu (Januari 8) NK imetoa kauli kali dhidi ya US, licha ya Trump hivi karibuni kutaka mazungumzo na Kim. Siku ya Jumamosi, Trump alisema yupo tayari kuongea moja kwa moja na kiongozi wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Bilionea George Soros, amesema utawala wa Donald Trump ni hatari Duniani, kwa kuzingatia upinzani aliojitengenezea utamfanya kuwa kiongozi wa muda mfupi sana na anaweza kupata wakati mgumu mwaka...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Report: Ex-Iranian president Ahmadinejad arrested for inciting unrest
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Habari wadau. Rais Joseph kabila wa Congo DRC amekubali kuachia madaraka Mara tu baada ya uchaguzi kufanywa 23/12/2018. Amesema uchaguzi utafanyika kama ulivyopangwa na hautasogezwa tena. Hayo...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wafanyakazi 955 wa Mgodi waokolewa baada ya kukwama chini ya ardhi baada ya kukatika kwa umeme. Wafanyakazi hao walikwama kutoka usiku wa siku ya Jumatano katika shimo lenye urefu wa Mita 1,000...
1 Reactions
2 Replies
789 Views
Nimesikiliza kwa makini hotuba ya Raisi Trump (State of the Union) na ambao imekuwa na maudhui anayoita Marekani Kwanza (America First). Jambo moja ambalo nimeona ni kwamba Raisi Trump amefanikiwa...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Korea Kusini imeitaka Korea Kaskazini kueleza ni kwa nini imefutilia mbali mkutano ambao ungejadili tamasha za kitamaduni wakati wa michezo ya Olimpiki ya msimu wa baridi mwezi ujao. Utawala wa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Taarifa zinazoendelea katika vyombo vya habari vya kimataifa (Aljazeera, CNN, Fox news na RT today) ni juu ya uamuzi wa Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan kuviamulu vikosi vyake vya anga kuanza...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom