Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,440
- 38,437
Mamlaka nchini Israel zimewapa machaguo mawili wakimbizi wa Kiafrika walioko nchini Israel. Waafrika hao wanatakiwa kukubali kupokea $3500 na kurudi Africa au laaah wafungwe jela.
Waafrika hao wamechagua kufungwa jela! Hawataki kurudishwa Africa kwa hoja kuwa hawana wanachoelewa kuhusu Africa wala jamaa.
Mamlaka za Israel hazijawa wazi kama waafrika hao watafungwa itakuwa kwa muda gani.
Chanzo: Morning magic na DW