International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Iran na Uturuki zahimizwa kuunganisha nguvu zao kupambana na Marekani Mkuu wa chama cha Vatan cha Uturuki amesema kwamba kuna wajibu kwa Ankara na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuunganisha pamoja...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Saudi Arabia imempa saa 24 balozi wa Canada nchini humo kuondoka katika nchi hiyo kutokana na Waziri wa mambo ya nje wa Canada Riyadh kuitaka Saudi Arabia kuwaachia Wanaharakati wa haki za...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Ni mda mrefu hapa jf nilitamani kuweka elimu kidogo kuhusu kifo kutokana na machapisho mbali mbali yaliyo wekwa hapa na maana mbali mbali ambazo members wamekuwa wakitoa kuhusu kifo. Kabla ya yote...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mnamo miaka ya 1960 Marekani ilipigana vita nchini Vietnam na kundi linaloitwa Viet Cong vita ambayo ilidumu kwa takribani miaka 7. Kuanzia mwaka 1965 mpaka mwaka 1972. Kwa sasa tukiangalia upande...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza kuhusu majina ya hizi nchi za Asia kaskazini na baadhi ya za Kiarabu kuishia na "STAN" mfano Kazakhstan,Kyrgyzstan,Trukimenistan, Uzbekistan...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Akiwa hospitali baada ya kufanyiwa operation ya moyo, Meghan na Harry waligundua njama za Thomas kuuza picha kwa waandishi wa habari. Thomas alikataa kabisa njama hizi kabla. Harry alimpigia simu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwalimu mkuu wa shule nchini Burundi amekamatwa kwa kudanganya kuwa yeye ni mwanafunzi akiwa na lengo la kumfanyia mtihani mtu mwingine. Polisi waliingia kwenye ukumbi wa mtihani ambapo Benjamin...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Daraja la miaka 50 limeanguka jana mjini Genoa, Italia na kuua watu 35. Uchunguzi unaendelea kuchunguza chanzo cha ajali hii. Serikali ya Italia imesema mhusika mkuu wa uzembe huu lazima awajibishwe.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Walikusudia kutuma chombo hadi kwenye jua, chombo chenyewe kimeandaliwa na kuwa na uwezo wa kustahimili makali ya jua. Japo wameahirisha hadi kesho jumapili. Vipi Waafrika tuendelee kushabikia...
5 Reactions
33 Replies
4K Views
Takribani watu 35 wamefariki dunia na 16 kujeruhiwa baada ya daraja la Morandi kuanguka huko mjini Genoa leo Agosti 14 Takribani magari 30 na magari makubwa 10 yanadaiwa kuhusika katika ajali...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kule tulikotembeza bakuli hela yao imeshuka thamani na rais ananlaumu rais wa Marekani Donald Trump kwa hili
5 Reactions
44 Replies
7K Views
Thousands sign petition to appoint LeBron James as US secretary of education Published time: 9 Aug, 2018 15:17 Get short URL © ROBYN BECK / AFP More than 10,000 people have signed a petition...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
....wakati vijana wa kiafrica wakilikimbia bara lao na kwenda kuendeleza bara la ulaya...still bado kuna waafrica wanafanya mambo makubwa kuliendeleza bara lao Now kutana na mmiliki wa kampuni ya...
2 Reactions
17 Replies
7K Views
WANAJESHI 67 wa ngazi mbalimbali wamefukuzwa jeshini kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu. Kati yao, 10 ni maofisa wa ngazi za juu huku 57 wakiwa wanajeshi wa vyeo vya kawaida...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Juzi ilikuwa furaha kwa mara ya kwanza baada ya miaka kadhaa kupita, kutembelewa na balozi wetu. Mheshimiwa Mr. Ahmada R. Ngemera alifika mapema na hivyo kuwa na sisi kwa masaa mengi tu. Mara ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Honourable Lawal Yahaya-Gumau, an APC Candidate representing Toro federal constituency in the House of Representatives, has announced that if elected into the Senate, the Nigerian constitution...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Serikali kusini mwa Sweden imetoa ruhusa kwa Ng'ombe kutembelea fukwe ambazo watu huzitembelea wakiwa watupu wakati wa majira ya joto, ingawa kumekuwepo na malalamiko kutoka kwa watu katika eneo...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Rais Recep Tayyip Erdogan ameapa kutotii vitisho vya Marekani kuhusiana na mchungaji anaezuwiliwa nchini Uturuki, huku mzozo baina ya washirika hao wa NATO ukizidi, na kusababisha kuporomoka...
3 Reactions
46 Replies
6K Views
Back
Top Bottom