Kwanini majina ya nchi za Asia Kaskazini na baadhi za Kiarabu huishia na "stan"?

Kibosho1

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
2,491
3,998
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza kuhusu majina ya hizi nchi za Asia kaskazini na baadhi ya za Kiarabu kuishia na "STAN" mfano
Kazakhstan,Kyrgyzstan,Trukimenistan, Uzbekistan, Pakistan,Afriganistan na Tujikistan na zinginezo....kuna maana yeyote ya majina hayo?
 
Maybe kuna kitu endelea na kutafuta ukweli
 
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza kuhusu majina ya hizi nchi za Asia kaskazini na baadhi ya za Kiarabu kuishia na "STAN" mfano
Kazakhstan,Kyrgyzstan,Trukimenistan, Uzbekistan, Pakistan,Afriganistan na Tujikistan na zinginezo....kuna maana yeyote ya majina hayo?
Mbona nchi nyingine si za kiarabu hapo?
 
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza kuhusu majina ya hizi nchi za Asia kaskazini na baadhi ya za Kiarabu kuishia na "STAN" mfano
Kazakhstan,Kyrgyzstan,Trukimenistan, Uzbekistan, Pakistan,Afriganistan na Tujikistan na zinginezo....kuna maana yeyote ya majina hayo?
Hakuna nchi za kiarabu zinazomalizikia na neno stan, nyingi ya hizo ni nchi zilizokuwa under Russian federation. I stand to be corrected.
 
Back
Top Bottom