Baba mkwe Thomas Markle amkatia simu Prince Harry

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Akiwa hospitali baada ya kufanyiwa operation ya moyo, Meghan na Harry waligundua njama za Thomas kuuza picha kwa waandishi wa habari. Thomas alikataa kabisa njama hizi kabla.

Harry alimpigia simu akiwa na mkewe na kumwambia ungenisikiliza tangu mwanzo haya yasingetokea. Thomas alikata simu.

Ingawa Harry na Thomas hawajawahi kuonana uso kwa uso, lakini Harry alimfahamisha toka mwanzo kuwa habari yeyote atakayowashirikisha waandishi wa habari itaishia kwenye machozi.
Thomas amekiri kuwa mamneno vya Harry yalikuwa sahihi na anakubali kuwa amechemka big time.
 
Tangu mwanzo nilihoji sababu za Harry kutochagua mke kutoka "familia iliyo bora" badala yake kaenda kwa ma-nigga wa US. Nilitukanwa sana kwenye ule uzi; ona sasa, ndani ya muda mfupi machozi yameanza! Halafu sielewi, tangu unachumbia, taratibu mbalimbali zinafanyika, mnavalishana pete, send off, harusi, n.k. n.k. halafu hujawahi kuonana na baba mkwe ana kwa ana! Duh! Hii kali; huyo mtu atakuwa yuko duniani au kuzimu?
 
Penzi kikohozi kulificha huwezi..
 
Baba yake Megan ni Mzungu usikurupuke
 
Back
Top Bottom