A Nigerian Joke: Buhari President For Life Again.

A Nigerian Joke: Buhari President For Life Again.

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
18,069
Reaction score
25,173
apc-candidate.jpg

Honourable Lawal Yahaya-Gumau, an APC Candidate representing Toro federal constituency in the House of Representatives, has announced that if elected into the Senate, the Nigerian constitution will be amended to make Muhammadu Buhari President for life.

He made this known at the closing of his campaign in Bauchi on Thursday. He stated that making Buhari a President for life is the only mandate he will be going to the senate with.

He said:

“I, Lawal-Yahaya Gumau, want you to know that the mandate that will be given to me on Saturday is to go and protect Buhari’s interest in the Senate. This is the only mandate that I will be going to the Senate with, having fulfilled every other mandate to the best of my ability while in the House of Representatives for eight years.

By God’s grace, we will amend Nigeria’s Constitution to allow Buhari to be President for the remaining years of his life. He will only cease to be President when God takes his life.

“Obasanjo tried all his best for the constitution to be amended to allow him go for a third term, but God didn’t approve of it because of its lack of sincerity. What is now needed in Nigeria is to protect Buhari’s interest and that is what we will do.”
 
Africa hakuna kinachoshindikana... angalia Congo, Rwanda...

True mkuu.
Vitu vingi ni possible in Africa but...
Is it fair to say with the exceptional of Nigeria?
Nigerians ni Africans yes, but they're not Rwandees or Congolese.
 
  • Thanks
Reactions: lup
True mkuu.
Vitu vingi ni possible in Africa but...
Is it fair to say with the exceptional of Nigeria?
Nigerians ni Africans yes, but they're not Rwandees or Congolese.
Tatizo sio nchi, tatizo ni mwenye mamlaka.. kama asipojali anaweza kuwa tayari watu wauane ila yeye lengo lako litimie.
Fikilia hayo yanasemwa kwenye kampani na ni moja ya sera yake ya wazi.. hujajiuliza kwa nini haogopi kutamka?
 
Huyu Yahaya-Gumau anaesema hivi si ni mpaka kwanza apite ili kutimiza hizi sera zake?!, na ana moyo haswa kuongea hivi wakati wa Campaign. Sijui ana uhakika gani watu watampitisha kwa hizi sera.

Cos I don't think Buhari is that popular in Nigeria anymore, the way he was after his election.
 
I remember the time when Buhari was a president in the 80’s. He used to make men in suit do frog jump for being late to work.
unajua mimi ni wajuzi juzi kumbe Buhari alishawahi kuwa raisi wa Nigeria miaka ya 90? ni jambo gani zuri alilofanya mpaka wakaona wamrudishe tena au ni zile akili za Kiafrika za kuendeshwa na mzuka badala ya kutazama sera ya mtu
 
Pia ninadhani walikuwa na nadharia kama yetu kuwa nchi inahitaji mtu wa kui discipline. Lakini kwa sasa hivi si Buhari yule tena.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Tatizo sio nchi, tatizo ni mwenye mamlaka.. kama asipojali anaweza kuwa tayari watu wauane ila yeye lengo lako litimie.
Fikilia hayo yanasemwa kwenye kampani na ni moja ya sera yake ya wazi.. hujajiuliza kwa nini haogopi kutamka?
Ingekuwa huku kwetu sawa lakini sio nigeria au west africa kwa ujumla!
 
  • Thanks
Reactions: lup
unajua mimi ni wajuzi juzi kumbe Buhari alishawahi kuwa raisi wa Nigeria miaka ya 90? ni jambo gani zuri alilofanya mpaka wakaona wamrudishe tena au ni zile akili za Kiafrika za kuendeshwa na mzuka badala ya kutazama sera ya mtu
Sio 90 ni kati ya '83' na 85'
 
Pia ninadhani walikuwa na nadharia kama yetu kuwa nchi inahitaji mtu wa kui discipline. Lakini kwa sasa hivi si Buhari yule tena.
Aisee mbona buhari kafanya makubwa sana especially suala la rushwa!! Hii ikiwemo hela zilizofichwa na mafisadi kwenye nchi za ulaya now zinarudishwa
 
Poor Buhari can not win a second term let alone be president 4 life! Not with all these en masse defections from his ruling APC party!
Anyway; Africa is a continent of many wonders; lets see if he can pull-off the 9th world wonder!!!
 
Back
Top Bottom