Saudi Arabia imempa saa 24 balozi wa Canada nchini humo.

Saudi Arabia imempa saa 24 balozi wa Canada nchini humo.

elivina shambuni

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Posts
461
Reaction score
295
Saudi Arabia imempa saa 24 balozi wa Canada nchini humo kuondoka katika nchi hiyo kutokana na Waziri wa mambo ya nje wa Canada Riyadh kuitaka Saudi Arabia kuwaachia Wanaharakati wa haki za Binadamu walioshikiliwa nchini humo.
 
He is leaving for a just cause... defending human rights
 
This is too much! Matamshi gani hayo ya kumfukuza balozi? Yaani nchi nyingine neno HAKI ZA BINADAMU ni sawa na uhaini?
NI DUNIA NZIMA HAKI ZA BINADAMU NI UHAINI HATA WEWE KUNA HAKI ZAKO UKITAKA KUZIDAI TZ UTAJUTA LAZIMA UTATAKIWA KUPELEKA VYETI VYA BABU YAKO UHAMIAJI UKIENDA MAREKANI SOME BLACK AMERICANS WANAPIGWA RISASI UKIENDA ARABUNI HAO HAO WANAOTETEA HAKI ZA BINADAMU NDIO WANAWAUZIA SILAHA WAASI ILI KUUA WATU WASIO NA HATIA.
 
This is too much! Matamshi gani hayo ya kumfukuza balozi? Yaani nchi nyingine neno HAKI ZA BINADAMU ni sawa na uhaini?
Yaani huyu Prince Suleman ndio hamna kitu kabisa. Aliahidi kwamba anataka kuleta mapinduzi ya kuendeleza nchi yake kumbe hamna lolote. Neno haki za Binadamu kwake ni kama uhaini.
 
Dogo kapewa nchi ndani ya bakuli anaanza kutamba.
prince-salmane-arabie-saoudite-3630bb-0%401x.jpeg
 
All you need to know about the escalating diplomatic row between Saudi Arabia and Canada
  • The war of words between the two countries stems back to a series of tweets from Canada's Foreign Ministry last week, when Ottawa expressed concern over arrested civil society activists in Saudi Arabia.
  • Some analysts say Saudi Arabia's move to sever diplomatic ties with Canada could be seen as both a power play for the kingdom's relatively young leader and a sign it is no longer willing to quietly ignore Western demands for political liberalization.
  • The U.S. — traditionally one of Canada's most important friends — has stayed on the sidelines of the dispute thus far.
All you need to know about the escalating diplomatic row between Saudi Arabia and Canada
 
He is leaving for a just cause... defending human rights
Wadhungu waache uwongo na unafiki jamani duh!
Juzi wameuwa watoto wa shule ya kiume mamia huko Yemen!
Leo wanajifanya human rights!
Wanafiki wa hali ya juu walahi!
 
Back
Top Bottom