Sasa reli ya sgr itajengwa kwa mchango wa bukubuku toka lumumba,toka lini maiti akamsaidia damu mgonjwa.Kule tukikotembeza bakuli hela yao imeshuka thamani na rais ana Maluku rais wa Marekani Donald Trump ha hili
Kumbe uturuki alikuwa anapata fedha za kigeni kupitia americaKwasababu Trump amesitisha importation of iron na Uturuki alikuwa muuzaji mkubwa
Kama huna SL unaweza kupotea in a minute. $1000 account can turn into ashes in 15 minutes.USDTRY. SISI WAZEE WA KATI TUBAIPIGA PESA SANA
USIULIZE WAZEE WA KATI WAPI
Atatafuta njia mbadala na atakaa sawa tu, wakati mwingine matatizo hukupa akili ya kujiongeza alibweteka Kama mchina, mwisho wa siku BRICKS imefufuka kwa Kasi kuwa mpinzani mkuu wa G7...Kwasababu Trump amesitisha importation of iron na Uturuki alikuwa muuzaji mkubwa
Acha mahaba mkuu ukaifananishe nchi iliyopo EU na Libya, uchambuzi wako umekaa kiyahudi yahudi tu, kufurahi wenzio wakiumizwa, mbona hamsemi watu wanavyoumia na kufa middle East kwa ubabe na jeuri ya Marekani, mnayaona ya Edorgan tu ya Marekani hamyaoni....Marekani tatizo lake kubwa maslahi full stop....Waturuki ni sawa na Wanaigeria huko Ulaya na Asia... full utaperi... wakifuatiwa na baba lao Iran....
Edogan Ni Mpumbavu sana yaani kama Bblia iliandika kuwa Wagalatia(ambao ndio asili Waturuki) ni wapumbavu ilipatia haswa na huyu Peridaa wao ni typical Garatia... Jitu la Visasi visivyo na akili.. Yaani kama ingekuwa Tanzania Watu elfu kumi wakiandamana basi unakamata wote unawafunga jela... badala ya kudeal na viongozi wahamasishaji pekee... anatesa sana raia wake mpenda sifa huyo... Yaani alikuja Tanzania akashurutisha Shule za Feza zifungwe zote Tanzania kisa mwenye Shule ni Mpinzani wake Hongera Tanzania kwa kumpuuza.. Ugombane nae wewe kisha umgombanishe na wengine... good sana kumpuuza... Marekani alimuambia wewe Garatia lete ushahidi mwishowe akakosa lakini bado anang'ang'ania Fetullah arejeshwe Uturuki amkamue... hasira zake akamkamata pastor wa Kimarekani masikini zake akamtia lupango sasa Marekani kamuambia amuache huru au akichezee kichapo ambacho hata raia wa Uturuki watamchoka juzi kajiapisha eti yeye hana Dollar ila ana Allah... Mie nimekaa Pembeni natizama Game tuliona Majeuri kina Gadafi mwishowe walikichezea cha aibu... ewe Garatia kwanini mu wapumbavu...
Mkuu umeniquote ila sijaona ulichochangia zaidi umehamisha Mada tu... please ukiniquote tena Stick to the hoja nikujibu... la sivyo nitaonekana na mimi ni Mpumbavu kama Garatia EdorganAcha mahaba mkuu ukaifananishe nchi iliyopo EU na Libya, uchambuzi wako umekaa kiyahudi yahudi tu, kufurahi wenzio wakiumizwa, mbona hamsemi watu wanavyoumia na kufa middle East kwa ubabe na jeuri ya Marekani, mnayaona ya Edorgan tu ya Marekani hamyaoni....Marekani tatizo lake kubwa maslahi full stop....
Kisha anakuja Tanzania kuturingishia hahaha alikuwa anajifanya anajua kumbe anaungua juaKumbe uturuki alikuwa anapata fedha za kigeni kupitia america
Kama mkataba wa SGR ulikuwa kwa lira nayo imeshuka thamani by 40% basi tunahitaji 40% more kulipia mkopo na riba ya deniKisha anakuja Tanzania kuturingishia hahaha alikuwa anajifanya anajua kumbe anaungua jua
Hamjui Baba majibu yake kwani eenh ataambiwa CCM haikusababisha uchumi wa Uturuki uyumbe au Tanzania haikuunga mkono Pastor afungwe kwa kusingizwa alitaka kuipindua Serikali ya edorgan kisa kuna waumini wake wanafahamiana na jamaa za Futullah...Kama mkataba wa SGR ulikuwa kwa lira nayo imeshuka thamani by 40% basi tunahitaji 40% more kulipia mkopo na riba ya deni
Si kwelKama mkataba wa SGR ulikuwa kwa lira nayo imeshuka thamani by 40% basi tunahitaji 40% more kulipia mkopo na riba ya deni
Kweli ipi? Wewe unanunua au unalipa mtu anayehitaji Dola au lira 10,, halafu unaambiwa imeshuka thamani by 40% anafikiri atakuuzia kwa lira 10 au lira 14, kaanze shule vidudu jombaSi kwel
Kama foreign currency ime depreciate... When you have payable you will pay less or if you have receivable you will receive less in your local currency... Kama hujui kitu kaa kimya...Kweli ipi? Wewe unanunua au unalipa mtu anayehitaji Dola au lira 10,, halafu unaambiwa imeshuka thamani by 40% anafikiri atakuuzia kwa lira 10 au lira 14, kaanze shule vidudu jomba