Bila picha hii taarifa ni batili!Daraja la miaka 50 limeanguka jana mjini Genoa, Italia na kuua watu 35. Uchunguzi unaendelea kuchunguza chanzo cha ajali hii. Serikali ya Italia imesema mhusika mkuu wa uzembe huu lazima awajibishwe.
yes ni kwa sababu ya kimbungaDaraja la miaka 50 limeanguka jana mjini Genoa, Italia na kuua watu 35. Uchunguzi unaendelea kuchunguza chanzo cha ajali hii. Serikali ya Italia imesema mhusika mkuu wa uzembe huu lazima awajibishwe.
View attachment 836345