Woga wa Jeshi la Israel kuhusu uwezo wa makombora wa Hizbullah ya Lebanon
Msemaji wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amesema kuwa uwezo wa makombora wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon na...
Mwili wa Katibu Mkuu wa Mstaafu wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan wawasili Jijini Accra nchini Ghana ukitokea Geneva nchini Uswisi
> Mke wa marehemu, Bi. Maria Annan, watoto pamoja na maafisa wa...
Julius Malema's We Need a United States of Africa Speech
Speaking during a press conference, the Economic Freedom Fighters leader Julius Malema said that South Africa needs to pull out of the...
TAKRIBANI WATU 53 WAMEFARIKI DUNIA NA WENGINE KADHAA KUJERUHIWA BAADA YA BASI WALILOKUWA WAKISAFIRIA KUPINDUKA HUKO TELANGANA
Chanzo cha ajali hiyo inadaiwa kuwa ni dereva kukosa uthibiti wa gari...
Kiongozi wa Shirika la Habari la CBS, Bw. Les Moonves amejiuzulu nyadhifa zake zote ikiwemo Uenyekiti, Ukurugenzi na Urais wa Shirika hilo baada ya tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia.
Moonves...
Mtangazaji wa Kituo cha Redio nchini Gabon (Redio Gabon) amejiua baada ya kutolipwa mshahara kwa miezi 15
Marius Pierre Foungues alikuwa Mtangazaji wa kipindi cha “Succès du temps passé”...
Binti mwanaume anapokuaproach epuka kumtakia kuwa wewe sikutaki una gubu, una sura mbaya, sio chaguo langu.
Sasa mwisho wa siku unakuwa kama huyo binti wa kifaransa alieamua...
Sweden: Chama cha siasa kali za mrengo wa kulia chapata kura nyingi
Chama chenye sera kali za mrengo wa kulia ambacho kimefanya kampeni kwa kutumia jukwaa la kupinga wahamiaji kimepata kura...
South Sudan plane crash: At least 19 killed in accident
At least 19 people died in South Sudan on Sunday when a small aircraft carrying passengers from capital Juba to the city of Yirol crashed...
Rais wa Sudan Omar la Bashir jana amevunja Baraza lake la Mawaziri na kumchagua Waziri mkuu mpya ikiwa ni hatua ya kukabiliana na mzozo wa kiuchumi uliokumba nchi yake katika miezi ya hivi...
Gwaride lenye mbwembwe nyingi la nchini DPRK mwaka huu halijahusisha onesho la mizinga ya masafa marefu yenye uwezo wa kubeba vichwa vyenye mabomu ya nyuklia.
Hii inaashiria mazungumzo kati ya...
UN: China iwaachilie huru Waislamu Milioni 1 walio katika kambi za Ukomunisti
Wataalamu wa haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa wametoa wito kwa China kuwaachilia huru mara moja Waislamu...
Hivi huyu jamaa alitishiwa kupewa kipigo? maana haiingii akilini kuruhusu sehemu ambayo mapato yako makubwa ya kuendesha nchi unategemea kujitenga?
Leo hii msosi huko Sudan ni wa shida na...
Mkutano wa Troika ya Syria mjini Tehran, kigezo bora cha kuigwa cha uishirikiano wa kikanda
Leo Ijumaa Tehran ni mwenyeji wa kikao cha viongozi wa nchi tatu muhimu katika mchakato wa kurejesha...
Ni kwa sababu aliwatimua Waisrael Uganda, akatishia Maslahi ya Waingereza huko Uganda. Vyombo vya habari vinavuomilikiwa na wayahudi mpaka entertainment industry kama Holywood vikaingia kwenye...
Rais Mstaafu, Barack Obama asema chama tawala cha nchi hiyo kwa sasa kimeshindwa kumshibiti Rais Donald Trump
> Obama ameueleza umma wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Illinois-Urbana kuwa...
Amazon imekua kampuni ya pili ya Marekani ndani ya Mwaka kufikia thamani ya Dola za Marekani Trillion moja ikifuata nyayo za Apple ambayo ilishika rekodi hiyo siku za hivi karibuni
Amazon is now...
China has faced serious accusations for having colonial ambitions in Africa. A German
official, for instance, has a straightforward message to the African community; “Our African
partners really...
Mapema mwaka huu rais putin aliyatambulisha makombora mapya ya nchi hiyo yenye uwezo wa kusafiri kwa speed mara kumi zaidi ya speed ya sauti ( hypersonic glide vehicle), pia rais putin alisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.