Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,308
- 289,277
Hii ni taarifa iliyosambaa mjini Harare kwamba jumamosi hii ataapishwa kama Rais wa wananchi wa Zimbabwe .
anaungwa mkono na kila mtu zimbabwejamaa anampinga aliyepita hapo patam
Nyie vijana mlishachanganyikiwaGodbless Chamisa , God bless ZIMBABWE
Hebu muulize anamjua vizuri Mnangagwa aka Clocodileanaungwa mkono na kila mtu zimbabwe
Hebu muulize anamjua vizuri Mnangagwa aka Clocodileanaungwa mkono na kila mtu zimbabwe
Tena kama huyu dada ndiyo alishavurugwa kabisaNyie vijana mlishachanganyikiwa
swali lako lingefaa waulizwe wananchi wa Zimbabwe waliopanga kumuapisha Chamisa , mimi ni mleta habari tu mjomba , tuliandika kuhusu Odinga na akaapishwa .Hebu muulize anamjua vizuri Mnangagwa aka Clocodile
Sawa mkuu naheshimu maoni yakoswali lako lingefaa waulizwe wananchi wa Zimbabwe waliopanga kumuapisha Chamisa , mimi ni mleta habari tu mjomba , tuliandika kuhusu Odinga na akaapishwa .
Siku nyingine hutakiwi kumwaga lawama kwa mtoa habari , hata kama humpendi , hapa jf ni sehemu ya kupata taarifa mbalimbali , chungu au tamuSawa mkuu naheshimu maoni yako
MBONA KURA HAZIKUTOSHA KAMA ANAUNGWA MKONO NA KILA MTU ZIMBABWE?anaungwa mkono na kila mtu zimbabwe
Nani kakumwagia lawama mkuu mimi nakuelewa sana mrengo wako hapa JF na michango yako Naijua sanaSiku nyingine hutakiwi kumwaga lawama kwa mtoa habari , hata kama humpendi , hapa jf ni sehemu ya kupata taarifa mbalimbali , chungu au tamu
Kwanza ni nani huyo apendwe na kila mtu amekuwa pesa?MB
MBONA KURA HAZIKUTOSHA KAMA ANAPENDWA NA KILA MTU
anaungwa mkono na kila mtu zimbabwe[/QUOTE]
Acha kugeneralize. Nasema wewe ni murongo, wewe ukipenda kitu unakurupuka na kusema kinapendwa na kila mtu. Grow dude