Huyu ni Rais wa zamani wa Chile,daktari bingwa wa upasuaji na pia alikuwa mwenyekiti mwenza wa mheshimiwa Rais Kikwete kwenye maswala ya afya ya mtoto.
Kikwete kuwa mwenyekiti mwenza wa jopo la...
Hii leo weledi wengi wa mambo ya kijeshi na taasisi za kistratijia zimekiri kuhusu uwezo mkubwa wa utendaji wa majeshi ya Iran.
Sera za kijeshi za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimejengeka katika...
Miezi michache iliyopita Marekani pamoja na washirika wake kutoka Ulaya walifanya mashambulizi mazito dhidi ya vikosi vya jeshi la Shamu(Syria) kwasababu walidai Raisi wa Shamu, Bw Bashar Al Assad...
Aid is a Political Tool Used by The West to Control Africa Says AU Head
The question of preference between markets and aid can only be asked in Africa, not in any other region of this world...
According to Africanews checks, leaders who opted not to make the Beijing trip are as follows:
1 – John Pombe Magufuli of Tanzania – represented by Prime Minister
2 – Pierre Nkurunziza of Burundi...
Hali ya hatari imetangazwa mjini Tripoli na maeneo yaliyo karibu na mji huo kufuatia mapigano makali kati ya makundi hasimu ya wapiganaji ambayo yamesababisha vifo vya watu wasiopungua 39 na...
US Today: Wayahudi wanapewa haki zote nchini Iran
Gazeti la Marekani la US Today limeripoti kuwa, jamii ya Wayahudi nchini Iran ina uhuru kamili na inaishi kwa amani katika Jamhuri ya Kiislamu...
Serikali ya Kiislam ya Watu wa Iran Imesema kuwa imeweza Kuunda Bomu kubwa kabisa lisilo la Kinyukria na Kulipa jina la Baba wa Mabomu... Bomu hilo limelizidi uzito Bomu la Marekani linaloitwa...
Wanawake wawili nchini Malaysia waliopatwa na hatia ya kujaribu kufanya mapenzi ya jinsia moja ndani wamechapwa viboko kwenye mahakama ya kidini.
Wanawake hao waislamu wenye umri wa miaka kati ya...
Vyuo vikuu nchini Uingereza vimeitaka Serikali kutunga sheria mpya zitakazowaruhusu wanafunzi wa mataifa mengine waliopo nchini humo kufanya kazi kwa angalau miaka miwili baada ya mahafali yao...
Yemen yashambulia taasisi za shirika la mafuta la Aramco, Saudi Arabia
Kikosi cha makombora cha jeshi la wananchi wa Yemen usiku wa kuamkia leo kimeshambulia taasisi za Shirika la Mafuta la Taifa...
Askari Polisi mmoja wa kike hukoYorkshire Kusini, nchini Englandameripoti kubakwa na mwanaume ambaye alikwenda kumkamata akiwa na askari mwingine kwa makosa ya jaribio la kubaka.
Mwanaume huyo...
Polisi waitaka familia kutoa taarifa kituo cha polisi haraka ili jitihada za kumtafuta zianze mara moja
Wakati vuguvugu la kisiasa likiendelea Jamhuri ya Kidemokrasia Congo Msanii mmoja...
Wandishi wa habari wa Reuters waukumiwa kifungo miaka 7 ( JELA ) nchini Myanmar kwa kosa la umiliki wa nyaraka za siri
Ili kosa limekuwa likifanyika.na kupuuzwa, tumeona mara kadhaa watu...
Kiongozi wa Upinzani Afrika Kusini asema Kenya ni koloni la Marekani, akipigia chapuo Kiswahili
Kiongozi maarufu wa upinzani nchini Afrika Kusini amekosoa vikali safari ya hivi karibuni ya Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.