OBAMA: Republican wameacha Trump afanye mambo ya kipuuzi Ikulu

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,067
1,827
Rais Mstaafu, Barack Obama asema chama tawala cha nchi hiyo kwa sasa kimeshindwa kumshibiti Rais Donald Trump

> Obama ameueleza umma wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Illinois-Urbana kuwa 'Republican' wameacha Ikulu yafanyike mambo ya kipuuzi

> Hii ni mara ya kwanza kwa Obama kumkosa waziwazi mrithi wake Donald Trump tangu alipoondoka madarakani Januari 2017

> Rais Trump akiwa katika Jimbo la Dakota amesema kuwa aliangalia hotuba ya Obama lakini ilimfanya asinzie
======

Urbana, Illinois (CNN) Former President Barack Obama offered his most pointed critique to date of President Donald Trump, delivering a lengthy and direct indictment Friday of the last two years in American politics by arguing the President is "capitalizing on resentment that politicians have been fanning for years."

The speech before more than a thousand students at the University of Illinois-Urbana Champaign was a preview of the message Obama will carry into the midterm elections.

But it also represented the former President's most comprehensive condemnation of Republicans in Washington and the first time he has publicly criticized Trump by name in a speech.

"You happen to be coming of age" amid backlash to progress, Obama told the students. "It did not start with Donald Trump, he is a symptom, not the cause.

He is just capitalizing on resentment that politicians have been fanning for years. A fear, an anger that is rooted in our past but is also borne in our enormous upheavals that have taken place in your brief lifetimes."

Obama spent a sizable portion of his remarks criticizing Republicans in Congress, saying "the politics of resentment and paranoia has unfortunately found a home in the Republican Party" over the last few decades and argued that the policies GOP leaders are pursuing aren't conservative.

The Republican National Committee responded to Obama's criticism by saying "President Obama stepped back into the spotlight to make the case that our country is on the wrong track."

"2016 is over, but President Obama is still dismissing the millions of voters across the country who rejected a continuation of his policies in favor of President Trump's plan for historic tax cuts, new jobs and economic growth," RNC spokesperson Ellie Hockenbury said in a statement.

"Democrats may have a new resistor-in-chief on the campaign trail, but they'll need more than a message of resist and obstruct to win this November."

Trump responded to Obama's speech by telling a crowd in North Dakota "I watched it, but I fell asleep. I've found he's very good for sleeping."
 
Hata huku TUNDU LISU anadai JIWE HAFAI ila at the end mchawi ni kura
 
Kama kipindi kile pamoja na kuandamwa kila kona lakini alipita. saizi atapita kama ananawa vile kwa sababu saizi kwanza yeye ni controller.
 
Kama kipindi kile pamoja na kuandamwa kila kona lakini alipita. saizi atapita kama ananawa vile kwa sababu saizi kwanza yeye ni controller.
Hahahaaa yeye controller? Unafikiri huku ukiwa rais unaweza kutumia nafasi yako kushinda kama huko Africa huku vyombo vya dola vinakuacha upambane mwenyewe hawakusaidii kuiba kura ingekuwa hivyo mama Clinton angeshinda sababu Obama alikuwa controller.
 
Trump kitakacho msababisha apite kiurahisi kwanza ameutengeneza vizuri uchumi wa marekani. hivyo vitu vingine wanavyo msema ni vitu vidogo sana ktk taifa la wa watu wa marekani.
 
Huyu naye atafukuzwa kama mbwa arudi kwao Kenya..analeta uswahili kwenye nchi za watu bwana!!! Mjaluo bhana!!! Si ndie huyo huyo aliyehalalisha ushoga sasa atamshauri nini mwenzie...inshort wote siwapendi, wauwaji wakubwa hao...
 
obama ana wivu ..ameona ulimwengu wote wa sasa macho yao Yapo kwa trump " nikama vile yeye amesahaulika ghafla "... hahaa ila trump anadharau mnoo aiseee " eti khotuba ilimfanya asinzie
 
obama ana wivu ..ameona ulimwengu wote wa sasa macho yao Yapo kwa trump " nikama vile yeye amesahaulika ghafla "... hahaa ila trump anadharau mnoo aiseee " eti khotuba ilimfanya asinzie
We unazani wanafanya siasa kama zako, Republican upepo unawavumia vibaya hii midterm wanaweza kupoteza bunge na seneti, hujasikia Trump akisema Republican wakapige kura ili asiondolewe madarakani!!
 
We unazani wanafanya siasa kama zako, Republican upepo unawavumia vibaya hii midterm wanaweza kupoteza bunge na seneti, hujasikia Trump akisema Republican wakapige kura ili asiondolewe madarakani!!
wakati utaongea mkuu
 
We unazani wanafanya siasa kama zako, Republican upepo unawavumia vibaya hii midterm wanaweza kupoteza bunge na seneti, hujasikia Trump akisema Republican wakapige kura ili asiondolewe madarakani!!
Mkuu huku bongo kwetu tunafikiri Mtu akiwa madarakani basi hawezi kushindwa uchaguzi,mentality hizi bado zinachagizwa na jiwe mwenyewe kuwa akupe Ukurugenzi halafu chama chake kishindwe utamtambua, unafikiri unaeleweka basi?kuna Mkuu wa mkoa aliomba radhi kwa Jimbo nadhani kuchukuliwa na wapinzani Nakuahidi haitorudia tena.Afrika Bara la Giza Trump aliposema Shithole country hakukosea
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom