Amazon yafata nyayo za Apple,nayo yafikia thamani ya $1Trillion

Mkuu #Frank Wanjiru
Hiyo ilikuwa ni mwaka gani?
Je baada ya google kushindwa kuinunua ndio wakaanzisha gmail?
 
Ndio hivyo mkuu
Wana robot 100000 na wanasaidia sana ingawa robots hazina common sense kama binadamu kwa hiyo binadamu wataendelea kufanya kazi zaidi

Robot zina uwezo wa kubeba mpaka 500kg katika warehouses hizo na zinakusanya orders kwa haraka
Zikiishiwa charge zinaingia zenyewe kwenye sehemu ya kucharge na ikijaa mwendo ule ule

Kwa hiyo ufanisi wa kazi wa haraka umaifanya kampuni izidi kutamba pia wana drones za kupeleka parcels kwa wateja
 
shukrani kwa maelezo. Nilikuwa sijaelewa niladhani warehouse za simu.
 
Mkuu #Frank Wanjiru
Hiyo ilikuwa ni mwaka gani?
Je baada ya google kushindwa kuinunua ndio wakaanzisha gmail?
Mwaka 1998 Google walipeleka Ofa kwa Yahoo ya kutaka Yahoo wawape Dollar 1ml wawauzie Google,Yahoo akagoma.

Mwaka 2008 Microsoft wakataka kuinunua Yahoo kwa Dollars 44bl,Yahoo wakagoma.

Mwaka 2016 Yahoo ikauzwa kwa Verizon kwa Dollar 4.83bl. Wakati inauzwa huo Mwaka Google ilikuwa na thamani ya Dollar 500bl huku Yahoo ikiwa na thamani ya Dollars 4.83bl.
 
Back
Top Bottom