Pentagon designing ‘Glide Breaker’ interceptor to hit enemy hypersonic missiles

Pentagon designing ‘Glide Breaker’ interceptor to hit enemy hypersonic missiles

amygdala

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
1,082
Reaction score
999
Mapema mwaka huu rais putin aliyatambulisha makombora mapya ya nchi hiyo yenye uwezo wa kusafiri kwa speed mara kumi zaidi ya speed ya sauti ( hypersonic glide vehicle), pia rais putin alisema hakuna nchi yyt duniani inayoweza kuyazuia makombora hayo kwa teknolojia ya sasa wala kwa teknolojia zijazo za mifumo ya ulinzi wa anga

Wakati bw putin akisema hayo huko marekani hali ya mambo inaonekana tofauti na madai hayo ya putin kwani taifa hilo la bw trump inasemekana limeshaanza mchakato wa kudesign kitu kinachoitwa glide breaker ambayo ni interceptor maalumu kabisa kwaajili ya kuyatungua makombora yenye kasi ya design hiyo ya urusi pamoja na yale yanayofanyiwa majaribio na china hivi sasa, kwa mujibu wa shirika la habari la urusi RT ni kwamba idara inayohusika na tafiti za teknlojia za hali ya juu katika jeshi la marekani DARPA limeshaanza tayari mchakato huo, vile mbali na mfumo huo wa ulinzi nchi hiyo nayo imeshaanza mchakato wake wa kutengeneza makombora ya aina hiyo yenye kasi kubwa zaidi duniani hvyo kwenye miaka ya 2020 nchi hiyo itakua na hypersonic missiles pia na air defense dhidi ya hypersonic missiles Pentagon designing ‘Glide Breaker’ interceptor to hit enemy hypersonic missiles – media
Wakuu vita baridi inarudi kwa kasi sana, mara ya mwsho vita baridi iliisha kwa mohja ya mataifa makubwa duniani USSR kuporomoka kitu ambacho putin aliwahi kusema ilikuwa ni greatest disaster of the century je? hii hali ya sasa mwsho wake utakua ni nn? marekani tunajua haikuathirika sana na cold war so ni ile ile tu ila vipi kwa upande wa russia je russia hii imejipanga vizuri zaidi ya USSR kumudu misukosuko ya kisiasa na kiuchumi ili na kuikabili marekani? je china inaweza kuexploit mvutano wa wababe hawa wawili to its own advantage au still hajakomaa kwenye michezo hii ya kibabe? Usiku mwema
 
Marekani atasubir saaaana kwa Urussi kwa millitary technology, Urussi ilipungukiwa wingi watu ukubwa wa nchi na uchumi 1991, na si technolijia na elimu waliyonayo, na wasiwasi Putin Ni mzimu wa Krushnev baba mjenzi wa USSR aliyerudi kwa jina la Putin, inasadikika jamaa ana akili kuliko....wanalofikiria leo US, yeye alishalifikiria miaka Kenda nyuma Toka mkurugenz wa KGB.....na Kama Warrussi mungu angewapa na akili ya kujenga uchumi Kama China, mmarekani angekuwa mtumwa Moscow...
 
Nope. Ni Naweza kusema america ipo sawa na urussi ki technilogia or wameizid kidogo sana. Juzi juzi urusi wame shut down project moja ya ndege aina ya T-51 ambayo ilikuwa inasemakama ina uwezo kama F-22...
F-22 kumbuka document zake ni classified.. means hakuna anaejua true details za hii ndege na inasemekana america imeficha mambo mengi sana kuhusu project zake.

Na pia angalia coldwar iliyopita nani alinyoosha mikono kwanza..?
 
Marekani atasubir saaaana kwa Urussi kwa millitary technology, Urussi ilipungukiwa wingi watu ukubwa wa nchi na uchumi 1991, na si technolijia na elimu waliyonayo, na wasiwasi Putin Ni mzimu wa Krushnev baba mjenzi wa USSR aliyerudi kwa jina la Putin, inasadikika jamaa ana akili kuliko....wanalofikiria leo US, yeye alishalifikiria miaka Kenda nyuma Toka mkurugenz wa KGB.....na Kama Warrussi mungu angewapa na akili ya kujenga uchumi Kama China, mmarekani angekuwa mtumwa Moscow...
Sasa nani kawazuia kuwa na hiyo akili ya kujenga uchumi. Acha ushabik maandazi dogo.
 
Back
Top Bottom