Kwa mara ya kwanza gwaride bila ICBMs huko North Korea!

Kwa mara ya kwanza gwaride bila ICBMs huko North Korea!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,473
Reaction score
31,966
Gwaride lenye mbwembwe nyingi la nchini DPRK mwaka huu halijahusisha onesho la mizinga ya masafa marefu yenye uwezo wa kubeba vichwa vyenye mabomu ya nyuklia.
Hii inaashiria mazungumzo kati ya Kim na Trump yameanza kuonesha matunda.

SOURCE:RT
 
Back
Top Bottom