International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Hizbullah: Jeshi la anga la Israel haliwezi kuzuia makombora yetu Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, imekwishayalenga kwa makombora yake maeneo yote muhimu...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
nimepata fununu Yule mama machachari katika siasa za Rwanda na mtaalamu wa music wa kiroho kizzito wameachiwa huru..kweli?..au ni uzushi
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Urusi yafanya mashambulizi ya anga Idilib Ndege za kivita za Urusi zimefanya mashambulizi ya anga katika mji wa Idlib ambao ni ngome ya mwisho ya waasi nchini Syria. Shirika la waangalizi wa haki...
8 Reactions
48 Replies
8K Views
Jeshi la Polisi katika Jimbo la Kerala Kusini mwa India limemkamata Askofu anayetuhumiwa kwa kumbaka mmoja wa Watawa wa Kanisa Katoliki > Watawa walifanya mgomo kwa siku kadhaa wakishinikiza...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Marekani imetishia kuiwekea vikwazo Mahakama hiyo ikiwa itaendelea na mikakati yake ya kuwashtaki raia wa nchi hiyo ICC kwa sasa inatathmini kuwafungulia mashitaka Wanajeshi wa Marekani kwa madai...
5 Reactions
59 Replies
5K Views
Makamu wa zamani wa rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Jean-Pierre Bemba, leo amesema uchaguzi wa urais ambao umecheleweshwa kwa muda mrefu nchini mwake ni mzaha, hiyo ikiwa kauli yake ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Maafisa usalama wa Uganda wazuia jaribio la mamlaka za Kenya la kutaka kupandisha bendera ya nchi nyingine katika kisiwa kinachobishaniwa cha Migingo Waganda wameshusha bendera hiyo...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Umoja wa Ulaya waiunga mkono mahakama ya ICC kuhusiana na Marekani Umoja wa Ulaya umetoa radiamali yake kwa vitisho vya Marekani vya kutaka kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) na...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Theresa may akitoa taarifa za kijasusi Bungeni leo Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May leo mchana amewataja raia wawili wa Russia ambao wanatuhumiwa kujaribu kumuua aliekuwa jasusi mwezao...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
When Karabo wanted a second husband in Generations: The Legacy, it was only a soapie. But now some women from the Shembe Baptist Church are asking for the same thing! A group of women members...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Trump kuwafukuza Wapalestina nchini Marekani Gazeti moja la nchini Marekani limeripoti kuwa, mshauri wa usalama wa taifa wa White House, leo Jumatatu atatangaza kufungwa ofisi ya Chama cha...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Ni maandamano ya kumtaka waziri wa afya atoke madarakani wakimtuhumu kuwa ni mla rushwa sambamba na aliyekuwa raisi wa nchi hiyo Jacobo Zuma. KINACHOFANYIKA Ukiwa haushiriki maandamano kundi la...
1 Reactions
127 Replies
13K Views
Shamrashamra zatawala baada ya mpaka baina ya nchi ya Ethiopia na Eritrea kufunguliwa ikiwa ni miaka zaidi ya 20 tangu ufungwe Hatua hii ni matunda ya makubaliano baina ya Waziri Mkuu wa...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
New York Times: Trump alipanga njama ya mapinduzi dhidi ya Rais wa Venezuela Gazeti la New York Times la Marekani imefichua kwamba, serikali ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo mwaka jana...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Majimbo kadhaa nchini Marekani yametangaza hali ya hatari kufuatia kufuatia kimbunga Florence kudaiwa kuelekea pwani ya mashariki mwa taifa la hilo.Takribani watu milioni 1.7 wana yahama maeneo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tanzania's President John Magufuli (File photo)...
2 Reactions
6 Replies
707 Views
Mke wa Kiongozi wa Upinzani nchini Uganda, Winnie Byanyima akosoa kitendo cha Serikali ya Tanzania kuzuia matumizi ya mitandao ya kijamii kwa Watumishi wa Umma > Auita uamuzi huo ni wa kiwango...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
CNN wanasema mpaka sasa jumla ya madeni ya nchi duniani kote ni 217 trillion dollars. Swali: nani mdai wa hizo pesa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Jeshi la marekani upande wa anga (Air force) linafikiri hatua za kumchukulia Mjasiria mali na Mmiliki wa kampuni ya Tesla bwana Elon Musk baada ya kuonekana kwenye kipindi kimoja akivuta bange...
2 Reactions
76 Replies
12K Views
Vyombo vya dola nchini Saudi Arabia, vinamshikilia mfanyakazi mmoja wa hotel ya kigeni kwa kosa la kuweka mtandaoni kipande cha video inayomuonesha akiwa analishwa chakula na mwanamke. Mwanamke...
2 Reactions
78 Replies
6K Views
Back
Top Bottom