Hivi kwanini Al Bashir aloruhusu South Sudan kujitenga?

Hivi kwanini Al Bashir aloruhusu South Sudan kujitenga?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
Hivi huyu jamaa alitishiwa kupewa kipigo? maana haiingii akilini kuruhusu sehemu ambayo mapato yako makubwa ya kuendesha nchi unategemea kujitenga?

Leo hii msosi huko Sudan ni wa shida na shughuli za ujenzi mkubwa huko Khartoum zimedorora sana.
 
Huwenda hakujua anachofanya, ila hata SS wasingekubali kupewa ardhi tupu isiyo na rasilimali.
 
Back
Top Bottom