Sambaza habari hii Email Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Whatsapp
Mukhtaar Roobow anayejulikana pia kama Abu Mansur
Komanda wa zamani na mwanzilishi wa...
Tetemeko hilo lenye ukubwa wa 5.9 kipimo cha ritcha lilipiga jana Oktoba 06 umbali wa Kilometa 20 Kaskazini-Magharibi mwa bandari ya Port-de-Paix
Limeleta uharibifu mkubwa ikiwa ni pamoja na...
Sasa ni dhahiri kwamba Paul Kagame ni kiongozi muoga kuliko yeyote duniani , bila udikteta kiongozi huyu wa Rwanda hawezi kuwa Rais hata kwa nusu saa .
Taarifa kutoka Kigali zinasema kwamba yule...
Iran yashambulia vituo vya wapiganaji ndani ya Syria
Kikosi cha walinzi wa mapinduzi nchini Iran mapema leo kilifyatua makombora sita pamoja na mabomu kwa kutumia ndege zisizokuwa na rubani...
BEIJING: Interpol president Meng Hongwei has been detained in China for questioning as part of an investigation against him, a media report said Saturday, a day after he was reported missing in...
Naandika hapa kwakuwa hili tukio siwezi kuliharibia ushahidi kwani linasimamiwa na watu wa dunia ya kwanza , yaani US.
Kuna mjamaa mmalawi, kajipenyezapenyeza kafanikiwa kuja kufanya kazi Bongo...
MATAIFA KUMI BORA AFRIKA YANAYODAIWA NA CHINA.
10. Congo DRC - Usd 3.4 Billion.
Taifa hili lilikuwa Taifa la kwanza kabisa kuingia Mikataba ya Mambo ya madini na Taifa la China.
09. GHANA - Usd...
Takriban watu 50 wameuawa na wengine 100 kupata majeraha mabaya ya moto baada ya lori lililokuwa limebeba mafuta kugongana na gari lingine nchini Jamhuri ya Demokrasi ya Congo.
Naibu gavana wa...
Wakuu hivi huu mvutano uliopo kati ya USA na uchina vipi unausababishwa na ubabe tu au kuna namna ingine?
Trumph anapiga mikwala sana kuhusu kuipandisha kodi kwa bidhaa zinazoingia USA from China...
Mahakama Kuu mjini Kigali imeamua kumuachilia huru kwa dhamana mwanasiasa wa upinzani Diane Rwigara na mamake na watafuatiliwa wakiwa nje ya gereza.
Jaji wa mahakama kuu mjini Kigali ametangaza...
TAMADUNI nyingi nchini India mwanamke ndiye anayewajibika kulipa mahari ili kuolewa tofauti na maeneo mengine duniani, ambayo hufahamika suala hilo liko mikononi mwa mume.
Hata hivyo, malipo ya...
I SEE DARKNESS AHEAD IN OUR ON-GOING STEPS, EFFORTS AND TRENDS. African scholars, it is your chance now, to ponder and come up with realistic and not merely copied strategies, means, theories and...
Watu 27 wamekufa baada ya kunywa pombe haramu ya Gongo nchi Iran... Pombe inayohisiwa ilikuwa na sumu ndani yake huku raia 302 wakikimbizwa hospital mbalimbali nchini humo kupatiwa matibabu ya...
Zambians cry foul as State-owned newspaper publishes in Mandarin
As Chinese influence continues to grow rapidly in Zambia, the state-owned Times of Zambia newspaper has come up with an ingenious...
Pence adai China inaingilia Siasa za Marekani
Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence ameishutumu China kwa kumhujumu Rais Donald Trump ikitaka kuona rais tofauti wa Marekani, na pia amekosoa...
Anaitwa Diane Shima Rwigara ,aliyezaliwa mwaka 1981 ,Kigali nchini Rwanda ,familia yake ni kabila la Watusi, Baba yake anaitwa Assinapol Rwigara,mama yake Adeline Rwigara ,kaka yake Aristide...
Wengi walisifu yaliyotokea Zimbwabwe kwa kuondolewa kwa kigagula mwenye tamaa na uchu wadaraka kwa miaka mingi bila kujali afya yake pamoja na umri wa miaka 94 eti bado alikua anataka kugombea...
Inasadikika hiki ndicho kilichofanya asiruhusiwe kuingia Zambia na kutakiwa kurudi kwao Kenya.
Mwanasheria maarufu na nguri Mashariki mwa Afrika ambaye ametoa mihadhara mikubwa katika vyuo vikuu...
Polisi nchini Zambia Inawashikilia raia wawili wa China baada ya kukamatwa wakitoa mafunzo kwa jeshi la mgambo bila kibali, mjini Livingstone
Mtu mmoja alikamatwa Jumamosi na mwingine Jumapili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.