Zambians cry foul as State-owned newspaper publishes in Mandarin

Neter

JF-Expert Member
Dec 30, 2011
698
1,115
chin zambia.jpg

Zambians cry foul as State-owned newspaper publishes in Mandarin

As Chinese influence continues to grow rapidly in Zambia, the state-owned Times of Zambia newspaper has come up with an ingenious way of increasing their revenue - by publishing today's lead story in Mandarin.

The article quotes President Edgar Lungu as saying Zambia "will not look east or west - we will look forward and go with whoever wants to go with us".

Those are comments he made while hosting a Swiss delegation at the presidential palace yesterday.

Reporting the story in both English and Mandarin Chinese is a move aimed at tapping into the Chinese market, says chief government spokeswoman Dora Siliya.

"Times of Zambia aiming to increase revenue by targeting Chinese market. Today's edition has a Chinese version of top story. They want to tap into Chinese advertising. Who moved my cheese? Times of Zambia responding."

The ministers tweet was criticised by some.

hizo ndio propaganda za china, hiyo ni ads tuu dailymail ya china wamelipia, juzi Trump alilalamikia same thing
 
Wangeweza kuwa na two version, moja in English nyingine in Mandarin for chinese audience. Lakini siyo gazeti la kitaifa la nchi kuchapishwa na maandishi ya kichina. Hii Haiko vizuri.

Huyu Rais inabidi ajitafakari, naona kama wanataka kuuza nchi.
 
Edgar Lungu ni very selfish person. Yaani yeye hajali wachina kutawala nchi as long as he is the president.

Uzalendo hapa ni kumtoa madarakani by any means necessary.

Jirani zetu wakiwa Wachina (wakiichukua Zambia) si wanaweza kuanza chokochoko hapa mpakani wakiwa wanajua watapata back up ya nguvu kutoka serikali yao.
 
View attachment 885336

Zambians cry foul as State-owned newspaper publishes in Mandarin

As Chinese influence continues to grow rapidly in Zambia, the state-owned Times of Zambia newspaper has come up with an ingenious way of increasing their revenue - by publishing today's lead story in Mandarin.

The article quotes President Edgar Lungu as saying Zambia "will not look east or west - we will look forward and go with whoever wants to go with us".

Those are comments he made while hosting a Swiss delegation at the presidential palace yesterday.

Reporting the story in both English and Mandarin Chinese is a move aimed at tapping into the Chinese market, says chief government spokeswoman Dora Siliya.

"Times of Zambia aiming to increase revenue by targeting Chinese market. Today's edition has a Chinese version of top story. They want to tap into Chinese advertising. Who moved my cheese? Times of Zambia responding."

The ministers tweet was criticised by some.

Zambians cry foul as State-owned newspaper publishes in Mandarin
Kama kuchapishwa kwa kiingereza ambayo sio kiwemba,kichewa,kinyanja etc ni sawa kwanini sio kwa mandarin ambayo pia sio native language kama kiingereza? Hii inanionyesha tu umuhimu wa lugha ya kiswahili na lugha nyingine za kiafrika kwa bara la Africa
 
Duh!, sio vibaya kuongeza upeo wa lugha lakini Zambia ina Chinese wangapi mpaka State owned Newspaper ichapwe in Mandarin!
 
Shida ni nini sasa, Lugha ni lugha tu, suala ni kwamba je Unamtarget nani?
Laiti wangeandika kiingereza hapo tungeona sawa eh?
Tukubali, may be Zambia wako ahead of our time, maana huko mbeleni haitajalisha wewe unatoka Taifa gani, bali itajalisha wewe una nini na unaleta nini katika hilo Taifa
 
Na mbaya pia hata hilo gazeti bado linatumia lugha ya Kingereza sasa shida ipi kwa wao kuchomeka na ki hicho kimandarin/kichina maana lugha zote za kuja japokuwa moja ilikuja kitambo
 
Back
Top Bottom