Polisi nchini Zambia Inawashikilia raia wawili wa China kwa kutoa mafunzo kwa jeshi la mgambo bila kibali

miss zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
2,811
2,000
Polisi nchini Zambia Inawashikilia raia wawili wa China baada ya kukamatwa wakitoa mafunzo kwa jeshi la mgambo bila kibali, mjini Livingstone

Mtu mmoja alikamatwa Jumamosi na mwingine Jumapili katika mji mkuu wa utalii wa Livingstone, polisi alisema.

Kwa ujumla, angalau watu 11, wakiwemo na raia wa Zambia, walikamatwa katika operesheni hiyo.

Kamishna wa Polisi wa Mkoa wa Kusini, Bonny Kapeso alisema katika taarifa yake kuwa mmoja wa watu waliokamatwa ni Mkurugenzi wa Usalama nchini Zambia huko Livingstone.

Polisi wamefanikiwa kukamata silaha za moto na risasi.
=================================

Police in Zambia arrested two Chinese nationals over the weekend over allegations that they were giving illegal military training to members of a local security firm.

One was arrested on Saturday and another on Sunday in the country’s tourist capital, Livingstone, police said.

In total, at least 11 people, including Zambians, were arrested in the operation, police added.

A Zambian director of Alert Safety Security in Livingstone was also detained, Southern Province Police Commissioner Bonny Kapeso said in a statement.

Police had confiscated shotguns, a pistol and ammunition, he added.

The security company and the suspects have not yet commented on the allegations.

ZAMBIA-Police-arrest-Chinese-for-‘illegal-military-training%u2019-489x367.jpg

ZAMBIA: Police arrest Chinese for ‘illegal military training’ – Daily Trust
 
Ubavu

JF-Expert Member
Jun 19, 2012
2,787

View attachment 884347

ZAMBIA: Police arrest Chinese for ‘illegal military training’ – Daily Trust
Nimependa hizo sare zao..! Yaani kampuni ikiwa na sare kama hizo ni jeshi tosha..!
 
Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
9,139
2,000
Hii Zambi itakuja kuwa himaya ya Kichina wasipokua makini kama kisiwa cha Mayotte huko Comoro kinachomilikiwa na Ufaransa (Japo hawamchagui Raisi wa Ufaransa) au American Samoa kilichopo huko kusini ya bahari ya Pacific kilicho chini ya himaya ya Marekani japo raia wake hawaruhusiwi kumchagua Raisi wa Marekani.
 
PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
10,580
2,000
Write your reply...Nchi zilizoendelea zinatatuta overseas colonies. Ila wachina hawana tofauti na wasukuma. Wanaushamba flani hivi, wazungu long time wapo Afrika lakini wapo smart. wao wamekuja juz tu vurugu kibao.
Acha kutukana watanzania wenzako we kima
 
kaffir

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
576
500
Polisi nchini Zambia Inawashikilia raia wawili wa China baada ya kukamatwa wakitoa mafunzo kwa jeshi la mgambo bila kibali, mjini Livingstone

Mtu mmoja alikamatwa Jumamosi na mwingine Jumapili katika mji mkuu wa utalii wa Livingstone, polisi alisema.

Kwa ujumla, angalau watu 11, wakiwemo na raia wa Zambia, walikamatwa katika operesheni hiyo.

Kamishna wa Polisi wa Mkoa wa Kusini, Bonny Kapeso alisema katika taarifa yake kuwa mmoja wa watu waliokamatwa ni Mkurugenzi wa Usalama nchini Zambia huko Livingstone.

Polisi wamefanikiwa kukamata silaha za moto na risasi.
=================================

Police in Zambia arrested two Chinese nationals over the weekend over allegations that they were giving illegal military training to members of a local security firm.

One was arrested on Saturday and another on Sunday in the country’s tourist capital, Livingstone, police said.

In total, at least 11 people, including Zambians, were arrested in the operation, police added.

A Zambian director of Alert Safety Security in Livingstone was also detained, Southern Province Police Commissioner Bonny Kapeso said in a statement.

Police had confiscated shotguns, a pistol and ammunition, he added.

The security company and the suspects have not yet commented on the allegations.

View attachment 884347

ZAMBIA: Police arrest Chinese for ‘illegal military training’ – Daily Trust
Mbona tafsili yako si sawa na ya kiingereza mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom