Ni bora zawadi kama hizi wapewe wataalamu binafsi au mashirika ya kujitolea kuliko wanasiasa waliopo madarakani maana ni matapeli na wahuni Mfano alipewa Obama 2009 baadae 2011 akavamia Libya akaiharibu mpaka leo bado akawaunga mkono waasi wa Syria mpaka Leo haikaliki bora kuwapa wanasiasa waliostaafu au watafiti(wanasayansi).BREAKING: The Nobel Peace Prize for 2018 has been won by Denis Mukwege and Nadia Murad, leading figures in the movement to end sexual violence as a weapon of war