Iran: Pombe ya Gongo yaua watu 27

Iran: Pombe ya Gongo yaua watu 27

Status
Not open for further replies.

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
16,379
Reaction score
13,198
Watu 27 wamekufa baada ya kunywa pombe haramu ya Gongo nchi Iran... Pombe inayohisiwa ilikuwa na sumu ndani yake huku raia 302 wakikimbizwa hospital mbalimbali nchini humo kupatiwa matibabu ya haraka kuokoa maisha yao.

Pombe nchi Iran imepigwa Marufuku kwa raia wake, ila kuna sehemu maalum huwa zinapewa leseni. imepelekea raia kujitengenezea pombe kienyeji majumbani na sehemu zinginezo. Watu 16 walikufa katika jimbo la
Hormuzgan na​
Katika Jimbo la
"Kekelweih​
walikufa watu 3
," Wa 4 Jimbo la Khorasan, na wa 4 jimbo la Albers. Mnamo Tarehe 11 mwezi wa Tisa watu kadhaa walikufa kutokana na Pombe hizo haramu karibu kabisa na mji mkuu wa Iran wa Teheran.​

The death of 27 people in Iran due to alcohol
  • 1538308993.jpg

Deaths in several Iranian cities have risen since September 23 as a result of alcohol poisoning to 27 people.

The deputy director of the Iranian Emergency Agency (Bir Hussein Kulivendi) in a press statement, said 16 people were killed in the province of Hormuzgan, according to the agency "Anatolia".

He added that three other people died in the province of "Kekelweih and Boer Ahmed," 4 in Khorasan, and 4 in Albers province.

Kolindi said another 302 people had been taken to the country's hospitals for treatment of the same substance poisoning.

The sale and consumption of alcoholic beverages is prohibited to citizens in Iran, and is introduced into the country illegally or produced in houses and unlicensed places.

On September 11, three people died in the city of Karaj in the province of Albers, near the capital Tehran, for the same reason.​

Pombe sio Chai. Hata kwetu kumbe wapo...​
 
Unajua kuna vitu nashindwa kuvielewa huwa binadamu tunafikiria nini tunapenda kujifariji kwa kusababisha maumivu kwa watu wengine kutokana tu kupishana kiitikadi tu. Hivi ungeandika Pombe yaua 27 Iran, nini kingepungua katika habari yako. Sote tunafaham Iran ni nchi ya kiislamu ujumbe wako pia ungefika, lakini malengo yalikua kuongelea imani ya mtu mwengine. Tunasafari ndefu sana ....
 
Pia hajuwi Iran kuna makanisa Mazuri pengine ata Africa nzima hayapo kwa Tanzania ni 100% hakuna makanisa mazuri kama Iran!!!
Ila Dini huwa zinaharibu vichwa vya watu sana Tuna fikia hatua ya kujibanguwa na kujiona sisi wenyewe hatufai ila wapo wateule wanafaa kuishi na kutukuzwa zaidi ya wengine!!! Tumedanyanywa tukadanganyika sijuwi Tumekuwa ndondocha bila kujitambua!!!
 
Kujiita taifa la kiislam na kuwa waislam ni vitu viwili tofauti kabisa na kwa hilo Iran ni mfano mzuri sana.

Wanajiita taifa la kiislam lkn wanayoyafanya inaonyesha kuwa ni makafiri wa kutupwa km wana mipango ya kidunia ya kutaka kuwaangamiza jamii zingine na kueneza chuki dhidi ya wale wenye imani tofauti na wao.

Wana mipango ya kuwa na silaha kali za maangamizi kitu kinachoashiria kuwa hawana imani na huyo Allah kuwa wakimuabudu ataweza kuwasaidia ndio maana wanaamini sana the second opinion ambayo ni silaha za maangamizi.

Wanaamini zaidi ktk violence as a way of settling political quagmires rather than dialogue which is a Godly approach and the civilized way of settling earthly disputes.

My Take: Hawa watu ni binadamu tu kama wengine ila wanatumia dini kama kichaka cha kujifichia tu wanapotenda maovu yao. Hawana tofauti na wale Makuhani Wakuu na Masudukai wa zama zile walioshindwa kumrushia jiwe hata moja yule Mama. These people are great Hypocrites.
 
Iran si nchi ya Kiislam

Tujitahidi sana kusoma,kabla ya kusema
 
Kwan ungesema iran tu isingetosha mpaka uutaje uislamu.
 
Pia hajuwi Iran kuna makanisa Mazuri pengine ata Africa nzima hayapo kwa Tanzania ni 100% hakuna makanisa mazuri kama Iran!!!
Ila Dini huwa zinaharibu vichwa vya watu sana Tuna fikia hatua ya kujibanguwa na kujiona sisi wenyewe hatufai ila wapo wateule wanafaa kuishi na kutukuzwa zaidi ya wengine!!! Tumedanyanywa tukadanganyika sijuwi Tumekuwa ndondocha bila kujitambua!!!
Tunatumia hisia zaidi katika maamuzi yetu.Hasahasa most of us tu wakristo au waislamu si kwa sababu tumechagua we found ourselves in it.
 
Unajua kuna vitu nashindwa kuvielewa huwa binadamu tunafikiria nini tunapenda kujifariji kwa kusababisha maumivu kwa watu wengine kutokana tu kupishana kiitikadi tu. Hivi ungeandika Pombe yaua 27 Iran, nini kingepungua katika habari yako. Sote tunafaham Iran ni nchi ya kiislamu ujumbe wako pia ungefika, lakini malengo yalikua kuongelea imani ya mtu mwengine. Tunasafari ndefu sana ....
Wewe!! hiyo ni big news, lazma ipambwe.
 
Kujiita taifa la kiislam na kuwa waislam ni vitu viwili tofauti kabisa na kwa hilo Iran ni mfano mzuri sana.

Wanajiita taifa la kiislam lkn wanayoyafanya inaonyesha kuwa ni makafiri wa kutupwa km wana mipango ya kidunia ya kutaka kuwaangamiza jamii zingine na kueneza chuki dhidi ya wale wenye imani tofauti na wao.

Wana mipango ya kuwa na silaha kali za maangamizi kitu kinachoashiria kuwa hawana imani na huyo Allah kuwa wakimuabudu ataweza kuwasaidia ndio maana wanaamini sana the second opinion ambayo ni silaha za maangamizi.

Wanaamini zaidi ktk violence as a way of settling political quagmires rather than dialogue which is a Godly approach and the civilized way of settling earthly disputes.

My Take: Hawa watu ni binadamu tu kama wengine ila wanatumia dini kama kichaka cha kujifichia tu wanapotenda maovu yao. Hawana tofauti na wale Makuhani Wakuu na Masudukai wa zama zile walioshindwa kumrushia jiwe hata moja yule Mama. These people are great Hypocrites.
Kumbuka yule aliyejenga misikiti Uganda na hata Dodoma kuna msikiti wa Ghadafi siku walipoingia kwake walikuta mabox ya kila aina ya Whiskey, Bland na Champagne. Huyu ndiye alikuwa anajiita mwislam no. 1.
 
Zamano kabla ya mapinduzi Iran ilikuwa moja ya wakulima wakubwa wa zabibu duniani.Toka kipindi cha kina malkia Esta wairan wamekuwa wakipiga divai.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom