Mohammed Dewji, head of the $1.25bn MeTL Group and an MP in Tanzania, is set to launch a foundation in May to give away $100m of his fortune.
Dewji – ranked 31st richest person in Africa...
Uturuki yaonyesha mkanda wa video wa maafisa usalama wa Saudia waliotajwa kumuua Jamal Khashoggi
Serikali ya Uturuki imeonyesha mkanda wa video wa kuingia timu ya watu 15 kutoka Saudia, wakati...
Waziri wa Mawasiliano Gobind Singh Deo amesema hayo huku akifafanua kuwa ni kutokana na upinzani mkubwa wa adhabu hiyo kutoka kwa wadau mbalimbali
Mashirika yanayopigania haki za binadam...
Mahakama ya kijeshi ya Misri imewahukumu kifo watu 17 leo kuhusiana na mashambulio kadhaa ya mabomu ya kujitoa muhanga katika makanisa mashambulio ambayo kundi la Dola la Kiislamu lilidai kuhusika...
Ethiopia to open its borders to all Africans
Ethiopia has announced plans to open its borders so that all Africans can enter the country without prior permission. Prime Minister Abiy Ahmed Ali...
Rais wa nchi hiyo Julius Maada Bio, ameiamuru wizara ya ujenzi na uchukuzi kuiandikia China kukataa kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 318.
Hii ameiita, kukabiliana na mlundikano wa madeni...
Mahakama ya Bangladesh leo imemuhukumu kifungo cha maisha kiongozi wa upinzan Tarique Rahman, huku watu wengine 19 wakihukumiwa kifo kutokana na shambulizi la mabomu lililotokea mwaka 2004 dhidi...
Jeshi
la Marekani limerusha ndege yake aina ya B-1B bomber. katika anga ya Korea Kusini kama sehemu ya mazoezi ya pamoja ya angani katika hatua inayoonekana kama onyo kwa Korea Kaskazini.
Mazoezi...
Russian S-400 Triumph medium-range and long-range surface-to-air missile systems [Sergei Karpukhin/Reuters]
Mwezi uliopita, Setember 2018, Russia ilifanya maonesho ya kivita, Vostok-2018 war...
Kuna habari za kuaminika Kuwa Russia ameingia Libya na anawaunga mkono Haftar na pia amewapa silaha nzito,
Pia kuna wanausalama wa GRU na vikosi toka Russia vimepelekwa Mashariki mwa Libya kwa...
Mgombea wa upinzania Maurice Kamto ajitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika siku ya Jumapili
Hata hivyo chama tawala chini ya Rais Paul Biya kimekanusha usdhindi huo na kumtuhumu bwana Kamto...
PUTIN AZUNGUMZIA USAMBAZAJI GESI ULAYA
MOSCOW, Urusi
RAIS wa Urusi, Vladimir Putin amekadiria kuwa kwa mwaka huu nchi yake itakuwa imesambaza gesi mita za ujazo bilioni 200 kwa bara la Ulaya...
BUNDI ni aina ya ndege ambaye hula nyama; hufanya mawindo yao wakati wa usiku na kupumzika wakati wa mchana. Pamekuwepo na imani kwa wengi kwamba bundi anaponekana nyumbani kwa mtu ni lazima kuna...
Mamlaka nchini Sudan Kusini inaendelea na mazungumzo dhidi ya wafungwa ambao wamejihami kwa bunduki na visu, na ambao wanashikilia eneo la gereza hilo mjini Juba wakishinikiza kuachiwa huru kwa...
Urusi imeunda kombora jipya ambalo haliwezi kutunguliwa na linaweza kufika pahala popote duniani, kwa mujibu wa Rais Vladimir Putin.
Bw Putin amekuwa akieleza sera zake muhimu za muhula wa nne...
Ndugu Meng Hongwei anayetajwa kama Rais wa Interpol anadaiwa kutekwa na mpaka sasa hajulikani hasa mahali alipo .
Swali langu ni fupi tu , kwamba kama kigogo huyu wa Mapolisi wa kimataifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.