Maandamano yatanda nchini Tunisia baada ya Mwandishi wa Habari kujichoma moto
Mapigano kati ya waandamanaji nchini Tunisia na vikosi vya usalama walienea kutoka mji wenye maskini usiku mzima...
Vyuo Vikuu vya Ujerumani kuanza kutumia mafunzo ya Qurani
Akademia ya Uislamu katika Sayansi na Jamii ya Chuo Kikuu cha Goethe nchini Ujerumani imeunda makundi mawili ya utafiti kwa lengo la...
December 26, 2018
Al Asad Air Base, Iraq
Rais Donald Trump ametembelea wanajeshi wa Marekani nchini Iraq na kuongea na wapiganaji ktk kambi kubwa ya kijeshi nchini Iraq ya Al Asad. Hii ni ziara...
"Ukraine itapeleka tena meli za kivita kwenye bandari zake za bahari ya Azov tena", afisa wa usalama alisema Jumatano, licha ya kukamatwa na Urusi meli zao tatu za kivita na wafanyakazi ndani yake...
Rais Trump alieleza akiwa White House siwezi kusema lini serikali itafunguliwa. Naweza kusema serikali itafunguliwa pale tutakapokuwa na fedha ya ukuta au uzio chochote wanachokiita
Kufungwa kwa...
Kanuni Mpya za Mafao ya Wastaafu Tanzani : Dhihirisho la Sera za Kibepari
on December 25, 2018
Habari:
Serikali ya Tanzania imepitisha Sheria ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (The Public Service...
China imekuwa ikikataza wananchi wake kusherehekea Sikukuu ya Krismasi,
Badala yake wananchi wametakiwa kuzingatia katika kukuza utamaduni wa jadi wa Kichina.
Katika mji wa kaskazini wa Langfang...
Katika kijiji cha Da' Anliu imetungwa sheria ya kuzuia kupanda kwa mahari. Hii ni kutokana na ongezeko kubwa la kiasi cha fedha kwaajili ya mahari
Kiasi cha mahari kimefikia dola za kimarekani...
Jamhuri ya Mapinduzi ya kumwaga damu zisizo na hatia ya Nchi ya Iran Imesema kupitia waziri wake wa Mambo ya Ndani kuwa Nchi yake haina mpango wowote wa Kuiangamiza Nchi Takatifu ya Israel na...
Wiki iliyopita wa Saudia walishuhudia "kitu wakiitacho" mapinduzi ya burudani nchini mwao. Tamasha kubwa la Formula E lilifanyika kusindikiza mashindano ya mbio za magari nchini Saudia la...
Krismasi iliwahi kupigwa marufuku.
Mwaka 1644, walokole wa Kiprotestanti nchini Uingereza ambao walifahamika kama Puritans waliambia kuifuta kabisa sikukuu ya Krismasi.
Walikuwa ni kundi ya...
Sudan football fans clash with police
Hundreds of demonstrators blocked a road near a football stadium in the capital, Khartoum, on Sunday before clashing with riot police.
Opposition figures say...
Malengo ya nyuma ya pazia na ya wazi yaliyopelekea kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini Syria
Waziri wa Ulinzi wa Marekani aliyejiuzulu alisaini dikrii ya kuwaondoa wanajeshi wote wa Marekani...
In the wake of US President Donald Trump's announcement that he would pull troops out of Syria, some international allies have reacted with shock and dismay, while Russia and Turkey seemed to...
Some 1.8 million Israelis, including 842,300 children, were living in poverty in 2016, according to new figures released by the National Insurance Institute this month.
The poorest region in the...
Kusimamisha ukoloni wa kichina pembeni ya ukoloni wa kimagharibi haitakua suluhisho
on December 19, 2018
Mnamo tarehe 12 mwezi wa 11 2018, iliripotiwa kwamba ” mkataba wa makubaliaono [...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.