International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mambo VP wadau wa Zenjin dugu nipo Zanzibar ni mgeni natafuta nyumbani ya kupangisha ya self yenye fensi na geti bajeti yangu angalau USD 100 kwa mwezi kama inapatikana nifamishe kwa Namba zangu...
1 Reactions
0 Replies
621 Views
Kiongozi Muadhamu: Bishara za ushindi mkubwa zimeonekana wakati Wapalestina walipoipigisha magoti Israel masaa 48 tu Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Palestina...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
MUMBAI: Jeshi la Polisi limesajili kesi 455 za watu walikuwa wakiendesha vyombo vya moto huku wamelewa kwenye mkesha wa mwaka mpya Mpaka kufikia usiku wa tarehe 31 pekee Jeshi hilo liliwakagua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MEXICO CITY - Mexico imealika wataalamu kutoka Bodi ya Taifa ya Usalama katika Usafirishaji (NTSB) kutoka Marekani. kuchunguza ajali ya helikopta iliyoua gavana wa Jimbo la magharibi la Puebla...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama heading inavyojieleza, kuna sintofahamu kubwa kati ya nchi hizi jirani yaani Burundi na Rwanda ambapo majuzi baada ya Kagame kushuhudia mazoezi ya kijeshi huku askari wake wakijaribu mizinga...
10 Reactions
291 Replies
31K Views
President Pierre Nkurunziza has asked the East African Community leadership to urgently convene an extraordinary summit to address the differences between Burundi and Rwanda. While addressing...
0 Reactions
60 Replies
8K Views
Shehu Usman amefariki katika hospitali ya taifa mjini Abuja alipokuwa akipatiwa matibabu. Shehu amefariki akiwa na umri wa miaka 93 na aliwahi kuwa Rais wa Nigeria mwaka 1979 mpaka 1983 ambapo...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Wame weza!!! Khartoum–Sudan’s President Omar al-Bashir has resigned after weeks of demonstrations and a mutiny by some police officers. Vice-President Bakri Hassan Saleh has been sworn in vowing...
6 Reactions
24 Replies
5K Views
Queen attends Christmas morning church service in Sandringham without Prince Philip
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Ningependa kushare ujumbe murua kutoka kwa papa Francis ambao unaweza kuwafunza viongozi wa dini nchini. Papa Francis alipenda Christmas hii isheherekewe kidini na kimungu zaidi kuliko kidunia.
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Aiseee kama ni kweli,jamii ya kimataifa lazima iiwekee vikwazo Saudia Arabia, maana huu ukatili wa hali ya juu sana bora upigwe lisasi tu
5 Reactions
263 Replies
29K Views
Russian President Vladimir Putin says a new hypersonic missile system that he says can evade U.S. ballistic missile defenses will be deployed in 2019 as part of Russia's focus on advancing its...
0 Reactions
3 Replies
929 Views
China imesema makubaliano ya muda yamefikiwa na uongozi wa Vatican juu ya kuteuliwa kwa maaskofu na kutafungua ukurasa mpya kati ya mahusiano ya China-Vatican yakimaliza miongo mingi ya...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Following volcanic activity from the Krakatau (Krakatoa) volcano in Indonesia, a level three alert has been issued in the area. Given the severity of volcanic ash when it comes to aviation, this...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KARACHI, PAKISTAN Shirika la ndege limesitisha mikataba kwa marubani 50 wakiwemo 3 wanaotuhumiwa kwa kuwa na shahada za bandia Mkuu wa shirika la ndege la nchi hiyo amesitisha ajira kwa Watumishi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wahamiaji kutoka nchi za Syria na Iran walioko Ufaransa wameanza safari ya kuingia nchini Uingereza kwa kutumia mashua ndogo zile zenye kujazwa upepo kupitia mkondo uitwao English Channel. Boti...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
CANADA: Takribani Madaktari 500 pamoja na Wanafunzi wa Utatibu 150 wametia saini barua ya wazi wakipinga ongezeko la mashahara kwa Madaktari Ongezeko hilo la mshahara limetokana na mapendekezo...
4 Reactions
19 Replies
5K Views
LIVE: Yellow Vest - Ona jinsi wazungu wanavyotesana kwa ukiukaji wa haki za binadamu Mwandishi wa Habari akizuiwa kupiga picha WAANDISHI WA AFRIKA JIFUNZENI KUFICHA MABAYA YENU...
6 Reactions
31 Replies
5K Views
Satellite shows damage to Iranian bases after Israeli Syria strike
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis leo ametoa mwito wa kurejea kwa hali ya utulivu katika Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo ikiwa ni baada ya watu kadhaa kuuawa kufuatia maandamano...
1 Reactions
3 Replies
878 Views
Back
Top Bottom