International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

China printing new Zimbabwe currency in exchange for oil and diamonds by Itai Mushekwe 14 Dec 2018 at 07:48hrs | 75571 Views COLOGNE - China has intensified it's grip, control and access to...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Waendesha mashitaka nchini Afrika ya kusini wametoa kibali rasmi cha kumkamata na kumshitaki Grace Mugabe mke wa rais aliyetimuliwa madarakani Robert Mugabe kufuatia matendo aliyo kuwa anayafanya...
5 Reactions
39 Replies
4K Views
Huko Mjini Seoul Korea ya Kusini nyama ya mbwa ilichukuliwa kama chakula cha asili chenye tunu kubwa. Hali hii imebadilika baada ya wanaharakati wengi kupinga ufugaji mbaya wa mbwa wa kuchinja...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Zarif amshangaa Netanyahu kwa kusifia makombora mapya ya Israel Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali kitendo cha Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel cha...
7 Reactions
31 Replies
4K Views
Polisi nchini Afrika Kusini imetoa amri ya kukamatwa kwa Grace Mugabe, mke wa aliyekuwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ambaye anatuhumiwa kumshambulia na kumjeruhi mwanamitindo wa Afrika Kusini...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
The United States has turned into one of the most dangerous countries in the world for journalists. The US ranked fifth, along with India, as one of the deadliest countries for journalists behind...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Hivi majuzi baada ya Israel kuwaua raia watatu wa Palestina, Hamas nao walilipiza kisasi kwa kuwaua wanajeshi sita wa israel checki mtego waliowekewa...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mambo 100 usiyoyajua kuhusu chokochoko za Rwanda kwa Tanzania Historia ya Rwanda ni ndefu iliyojaa misukosuko ya kisiasa, kupinduana, vita na mauaji ya wenyewe kwa wenye yaliyosababishwa na...
13 Reactions
76 Replies
16K Views
Nimekuwa nikisikia Kuna mitume kwenye biblia waliishi miaka 900 au zaidi. Ukilisha na watu wengine waliotajwa kwenye vitabu vingine ambavyo vimeandikwa miaka mingi kabla ya kuzaliwa yesu au mitume...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Archibishop Hilarion Capuchi Archibishop maarufu wa zamani wa Palestina amefariki dunia siku ya jana akiwa na umri wa miaka 94.Taarifa kamili imetolewa na ofisi ya Vatican mjini Rome Italia...
5 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtoto Abdullah hawezi kuishi kwa muda mrefu, familia yake imeeleza Mama wa mtoto aliye raia wa Yemeni amezuiwa kumuona kijana wake aliye karibu kuaga dunia kutokana na sheria ya kuwazuia wageni...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Jon Levine The Wrap December 18, 2018 Violence against journalists rose 15 percent in 2018, according to the annual survey from Reporters Without Borders (RSF), and at least 63 professional...
0 Reactions
1 Replies
692 Views
Daily Mail: Polisi wa Ufaransa watatumia silaha ya kemikali kuzima maandamano Gazeti la Daily Mail la Uingereza limefichua kwamba yumkini polisi ya Ufaransa ikatumia silaha ya kemikali kwa ajili...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Zikiwa zimebaki siku sita kufanyika uchaguzi nchini Congo, imebainika Fomu za matokeo ya uchaguzi kwa vituo mbalimbali bado hazijaandaliwa. Hii imesababisha watu mbalimbali wakiwepo wafuasi wa...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Binti wa miaka mitatu yupo mahututi hospitalini nchini India baada ya kubakwa Jumapili Desemba 17.Mtuhumiwa, mwenye umri wa miaka 40 ni mlinzi katika jengo ambalo mtoto huyo anaishi, na tayari...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Katika pita pita yangu huko mitandaoni, nimekuja kukutana na rekodi za mauaji ya kisiasa huko ulaya. Kwakweli inatisha. hali ni tete huko. mauaji nje nje. Angalia hapa namna mabingwa wa...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amesema kuna mzozo wa wazi kati ya taifa lake na taifa jirani na Rwanda katika kinachoonekana kuwa kudorora zaidi kwa uhusiano baina ya mataifa hayo mawili...
17 Reactions
241 Replies
33K Views
Maandamano Ufaransa kumekucha wanaandamana hawalali ndani. Hapa kwetu tulitaka kuandamana tukatangaziwa kiama hadi vifaru barabarani. Naangalia Al jazeera sioni hata anayempiga mwenziwe polisi na...
7 Reactions
34 Replies
4K Views
John Bolton, US national security adviser, accused China and Russia of “predatory practices” in Africa that threatened Washington’s strategic, military and economic interests on a continent where...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
pWazayuni wakiri: Jeshi la Israel halina ubavu wa kuingia katika vita vipya Afisa mmoja mwandamizi wa jeshi la utawala wa Kizayuni amekiri kuwa Israel haina uwezo wa kuingia kwenye vita vyengine...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Back
Top Bottom