Utumwa wa Waarabu

Utumwa wa Waarabu

said Nundu JR

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Posts
466
Reaction score
359
IMG_20181124_181321_502.jpg
 
Hao ni wamissionari wa kikatoliki. Nimeelewa kabisa uzi wako na lengo lake kwamba unaona waarabu wanaonewa hawakutesa watu. Ni hivi maalim, wamisionari wa kikatoliki walikuwa wanawanunua kutoka kwa mabwanyenye masultani wa kiarabu na baadaye kuwarudishia uraia wao na kuwa huru. Wengi walikuwa wanatunzwa bagamoyo na walipewa mafundisho na wengi ndio walikuwa makatekista yaani waalimu wa kizalindo ya dini ya Kikatoliki. Nenda pale bagamoyo hizo picha na maelezo utayakuta mengi.
 
Subiri akaze mishipa ya kiuno na kuanzisha ubishi wa kapu la "mahogo-kivunde"! You jus' have to wait a little bit!
 
Hao ni wamissionari wa kikatoliki. Nimeelewa kabisa uzi wako na lengo lake kwamba unaona waarabu wanaonewa hawakutesa watu. Ni hivi maalim, wamisionari wa kikatoliki walikuwa wanawanunua kutoka kwa mabwanyenye masultani wa kiarabu na baadaye kuwarudishia uraia wao na kuwa huru. Wengi walikuwa wanatunzwa bagamoyo na walipewa mafundisho na wengi ndio walikuwa makatekista yaani waalimu wa kizalindo ya dini ya Kikatoliki. Nenda pale bagamoyo hizo picha na maelezo utayakuta mengi.
Mmh mbona black American hawapo uarabuni wapo ulaya na America na huko uzunguni kungine
 
Una uhakika?Hawapo au hawapo kwa wingi?Jiulize;Kama walienda
1-Walipata fursa ya kuendeleza vizazi vyao?
2-Je,walenda na wanawake weusi wenzao kuendeleza kizazi chao?
3-Hata kama hawakwenda na wenza wao wa kike ,waliruhusiwa kuoa hao "wanawake wa kiarabu/Asia ili kuendeleza asili yao?
USHAURI:
Jikite zaidi kujijuza ilikuwaje watumwa kutoka Afrika wakawa nadra Asia au sehemu zingine kutokuwepo.
 
Hio picha ni marekani, na hao waliokaa katikati ni viongozi wa dini (mmoja kavaa cheni) mnamo mwaka 1860.
 
Una uhakika?Hawapo au hawapo kwa wingi?Jiulize;Kama walienda
1-Walipata fursa ya kuendeleza vizazi vyao?
2-Je,walenda na wanawake weusi wenzao kuendeleza kizazi chao?
3-Hata kama hawakwenda na wenza wao wa kike ,waliruhusiwa kuoa hao "wanawake wa kiarabu/Asia ili kuendeleza asili yao?
USHAURI:
Jikite zaidi kujijuza ilikuwaje watumwa kutoka Afrika wakawa nadra Asia au sehemu zingine kutokuwepo.
Repeat a lie several times, eventually it will assert itself to be a truth
 
Inaonekana tuna upeo tofauti sana mkuu.. Sawa nikuache ukiendelea kuamini hakuna watu weusi wazawa wa Uarabuni… karne na karne…
Mimi mwenyewe nikishabugia balimi zangu za kutosha huwa naamua tu kwa makusudi kuanzisha ubishi.Amini usiamini huwa nagomea vitu dhahiri hadi unaweza kuniomba vyeti vya matibabu.
 
Back
Top Bottom